T TG10 New Member Joined Mar 31, 2016 Posts 3 Reaction score 0 Apr 2, 2016 #1 hekari mbili na zipo tayari kwa kupasua mwaka huu miti ya miaka 7, pia ninaekali kumi miti ya miaka mitatu pia naliuza, mashamba yapo mafinga Iringa umbali wa km 30 toka barabara kuu (dar - Zambia) 0717231622
hekari mbili na zipo tayari kwa kupasua mwaka huu miti ya miaka 7, pia ninaekali kumi miti ya miaka mitatu pia naliuza, mashamba yapo mafinga Iringa umbali wa km 30 toka barabara kuu (dar - Zambia) 0717231622
mkia JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 582 Reaction score 510 Apr 2, 2016 #2 Ngapi unauza mkuu
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,412 Reaction score 21,804 Apr 2, 2016 #3 Weka bei Mkuu! Na kapicha kidogo ingenoga Na kuongeza hamasa Na thamani ya Tangazo!