Ngoja nikupe kipande cha ukweli usioujua: Wananchi wa vijiji sita; ingri,
Umepata kuona huo mkataba wa mauziano? Unajua terms of agreement zilikua vip? sasa kwa kukutoa gizani ni kwamba ivo vijiji sita vinamiliki 30% yaani, 5% each, Igogo ana asilimia 49%. na bodi ya wadhamia ama wawakilishi wanamiliki asilimia 21%.
Kama una elimu kuhusu company law japo kidogo, na kwa kufahamu Igogo aliingia kama mwekezaji, sidhani kama kuna sababu ya kueneza uongo na chuki. Na kama ulikua hujui. Kuna report ya Takukuru ya due diligence inaonesha mali zilizokuepo kabla na baada ya mwekezaji kuingia ambapo inaonesha hakuna wizi, wala ufisadi, vilevile kaa ukijua hili suala linaendeshwa kisiasa.
It is only a matter of time Waeneza chuki wote mtaumbuka.