Shamba la kupanda miti linahitajika

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,706
Natafuta shamba la kupanda miti Njombe au mufindi. Naomba nitumie bei ya shamba na sehemu shmba lilipo. Lisiwe mbali sana na barabara.

Maximum ekari 200..

Asanteni.
 
Kuna mama anaishi Njombe na anafanya kilimo cha kupanda miti ya mbao na aliwahi kuniambia kuna watu wanauza mashamba yao ila hazifiki hizo ekari 200 katika eneo moja,wasiliana naye 0763 504487

Asante sana mkuu
 
Lipo shamba la ekari 250 MAPANDA MUFINDI, linauzwa lote na bei ni 160,000 kwa ekari 1. Kama upo serious ni PM tuwasiliane kwa simu
 
Natafuta shamba la kupanda miti Njombe au mufindi. Naomba nitumie bei ya shamba na sehemu shmba lilipo. Lisiwe mbali sana na barabara.

Maximum ekari 200..

Asanteni.

CC Malila
 
Last edited by a moderator:
Shamba lipo na ni zuri na ekari niza kutosha nicheki kwa 0767022277 tuongee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…