Shamba kubwa linauzwa Mkuranga

charles mgina

Member
Feb 16, 2016
35
18
Shamba lenye hekari 34 pamoja na nyumba linauzwa Mkuranga Lina minazi, mikorosho, miwa, maembe lipo Mkuranga magodani Lina faaa kwa kulima matikiti mpunga mananasi na mazao mengine ILa linafaa kugawa viwanja kujenga while au kujenga kiwanda.....

Kuna maji ya kutosha na barabara inafika hadi shambani, shamba limepimwa ila pia kwa anayetaka heka 10 na heka 14 zipo pia.....wahi mapemaa kwa maelezo zaidi piga simu no 0717178455 uliiza mr Charles asante maelezo zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom