Shamba( Kiwanja) linauzwa

Disailly

Senior Member
Oct 18, 2012
130
13
shamba lenye ukubwa wa Ekali 2 na nusu lenye vitu vifuatavyo :- Nyumba ambayo haijakwisha na upande umeezekwa na watu waishi, Minazi 20 , Michungwa 10 , Miembe 4 na Mimea mingine mingi Mhusika ana tatizo lake ameamua kuliuza Shamba lilo umbali wa kilometa moja kutoka barabara kuu ya Morogoro karibu na Hos[itali ya Burere kwa Mawasiliano na bei piga simu namba 0754 286 329 au 0714 973 871
 
Shamba liko wapi exactly Disailly, kusema tu barabara ya morogoro haitoshi mkuu. Utaje na bei sasa
 
Nimesema kuwa lipo karibu kabisa na Hospitali ya Dr baki eneo la Kwamathias na bei yake si kubwa sana ni Tshs 18 Milion ili ni pamoja na vitu vilivyomo yaani nyumba, minazi , michungwa na vinginevyo vilivyomo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom