Shamba karibu na Mto Ruvu linauzwa

Shamba karibu na Mto Ruvu linauzwa

"As far as characteristics of the rivers as concern"...Mkuu hapa umeniacha naomba ufafanuzi kidogo au tafasiri kwa kiswahili mkuu
Tabia ya asili ya mito ni kupwa na kujaa maji hasa wkt wa masika
 
Sio kila anaeuza kitu chake ana dhiki wengine wanataka tu kubadilisha matumizi ya vitu vyao
sijawahi kuskia mengi, MO, hata billget akiwajibu hovyo wateja, na hata wewe unajua hao watu hawana dhiki!! KUTOKUA NA DHIKI HAIMAANISHI UWAJIBU HOVYO WATEJA! biashara njema mkuu
 
Shamba heka 2(mita 140x140) lipo kijiji cha Dutumi kata ya Kwala wilaya ya kibaha vijijini mkoa wa pwani.
Umbali kati ya shamba na MTO ruvu ni mita 2
Bei milioni 2(milioni 1 @ heka 1)
Contact 0758293598 (mi ndo mwenye Shamba hakuna dalali)
mita 140 x mita 140.
Ukitoa mita 60 za mto inabaki mita 140 x mita 80 = mita za eneo 11,200.
Bado ni heka mbili na zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom