Shamba karibu na Mto Ruvu linauzwa

Shamba karibu na Mto Ruvu linauzwa

chazi piere

Senior Member
Joined
Jun 12, 2016
Posts
132
Reaction score
73
Shamba heka 2(mita 140x140) lipo kijiji cha Dutumi kata ya Kwala wilaya ya kibaha vijijini mkoa wa pwani.
Umbali kati ya shamba na MTO ruvu ni mita 2
Bei milioni 2(milioni 1 @ heka 1)
Contact 0758293598 (mi ndo mwenye Shamba hakuna dalali)
 
Mkuu sema tu shamba limepakana na mto.
 
Mto ruvu wenye maji au ule upande mkavu?
Ungetupa ramani kidogo ya kijiji kiko wapi
 
Shamba heka 2(mita 140x140) lipo kijiji cha Dutumi kata ya Kwala wilaya ya kibaha vijijini mkoa wa pwani.
Umbali kati ya shamba na MTO ruvu ni mita 2
Bei milioni 2(milioni 1 @ heka 1)
Contact 0758293598 (mi ndo mwenye Shamba hakuna dalali)
Hairuhusiwi kufanya shughuli zozote mf. Za kilimo ndani ya mita60 kutoka kwenye chanzo cha maji. Wewe unatangaza eti shamba liko mita2 kutoka mto Ruvu, huoni unakiuka sheria? Hilo eneo litakuwa ni pungufu ya huo ukubwa naomba uweke hesabu zako sawa ukifuata Sheria ya mazingira ya mwaka 2004.
 
ndugu,,,,,naomba kujua liko umbali gani kutoka barabara kuu,,,kuna huduma gani za jamii karibu,,,je lina hati miliki au....je limepimwa,,,,halina migogoro,,,limepakana na makazi au liko mashambani,,,,je kipindi cha mvua maji yanaingia shambani???je shamba liko usawa wa mto au juu mto uko chini.panafikikajeee,,,maelekezo kufika shambani...binafsi ni mnunuaji na nilikua natafuta shamba kama hili,je ile sharia ya mita sitini utaizingatia au ndo iko ndani ya sehemu ya shambaaaa???,,ila bei utachekechaa..
 
Masika maji hayajai shambani?

Liko kama mita 250/300 kutoka brbr kuu,kuhusu sheria ya mazingira naifahamu vzr kusema mita 2 kutoka mtoni ni ili mtu aelewe namna ya ku-access Maji kutoka mtoni,kipindi cha masika Maji yanaingia shambani km as far as characteristics of rivers as concern ukizingatia u karibu wa shamba na mto,pia shamba liko juu kidogo ya mto,kuhusu panafikikaje ni rahisi kwa kuwa kuna brbr inaenda mpk shambani ukishatoka brbr kuu
 
"As far as characteristics of the rivers as concern"...Mkuu hapa umeniacha naomba ufafanuzi kidogo au tafasiri kwa kiswahili mkuu
 
Hairuhusiwi kufanya shughuli zozote mf. Za kilimo ndani ya mita60 kutoka kwenye chanzo cha maji. Wewe unatangaza eti shamba liko mita2 kutoka mto Ruvu, huoni unakiuka sheria? Hilo eneo litakuwa ni pungufu ya huo ukubwa naomba uweke hesabu zako sawa ukifuata Sheria ya mazingira ya mwaka 2004.
Mwongozo mzuri sana
 
Shamba heka 2(mita 140x140) lipo kijiji cha Dutumi kata ya Kwala wilaya ya kibaha vijijini mkoa wa pwani.
Umbali kati ya shamba na MTO ruvu ni mita 2
Bei milioni 2(milioni 1 @ heka 1)
Contact 0758293598 (mi ndo mwenye Shamba hakuna dalali)
Mita 2 hifadhi ya Mto mkuu sasa kuamishwa nje nje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom