Shamba ideal for a church

Shamba ideal for a church

Power to the People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2007
Posts
1,198
Reaction score
900
Shamba lenye ukubwa wa ekari tatu linauzwa manispaa ya Arusha maeneo ya Sombetini karibu na yard ya pili ya Simba Trucking Company na pia karibu na Milano garage. Eneo hili lipo karibu kabisa na barabara ya lami kama 200m kutoka kwenye lami. Eneo lingefaa kwa ujenzi wa kanisa au msikiti lakini kuna msikiti karibu na sidhani kama ingefaa kueka misikiti miwili karibu karibu.

Watakaohitaji kwa madhumini ya ujenzi wa nyumba wanakaribishwa pia.

PM me for more details.
 
Back
Top Bottom