Plot4Sale Shamba heka 100 linauzwa Tanga bei poa Tsh 120M

Half american

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
26,210
68,559
Shamba linauzwa

Liko- Tanga Tanzania.

Mahali- Handeni

Eneo- Kabuku

Umbali km 6 toka barabara kuu ya lami.

Ukubwa wake ni heka 100

Nyaraka za umiliki lina hati ya kijiji.

Ndani yake lina;

Mifugo;-mbuzi 120, kuku 40

Mabanda pamoja na pikipiki za uendeshaji shambani.

Pamoja na mazao mbalimbali kama mahindi, mboga mboga nk.

Bei Tshs. mil 120








 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…