Shamba ekari 300 linauzwa barabara ya morogoro.

Shamba ekari 300 linauzwa barabara ya morogoro.

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Shamba lipo Kibaha mkoa wa Pwani, karibu na mto luvu ni ubali wa 3km kutoka barabarani . shamba lina miembe , mikaratusi, michugwa . na mikorosho lina hati lipo karibu na mto umeme hauko mbali . linauzwa 420m kwa mawasiliano kwa anayetaka 0657 14555, 0686 200117 Akiri au 0655 278278. 0787 278278 Adili sisi ni madalali mwenye shamba yupo muda wowote unaweza muona hata namba naye tutakupa.
 
Back
Top Bottom