Ni kama kilomita 10 toka Bagamoyo mjini njia ya kuelekea Msata, actually ni kubwa sana (kama ekari 100) ila mwenyewe alipenda kuuza kipande hicho. hapajalimwa mazao yoyote kwa sasa lakini kuna mto unapita si mbali na lilipo shamba. Mimi sio dalali. Nakupa namba ya mwenyewe ili ufanye nae mawasiliano kwa sababu hayuko JF wala hana idea nini kinaendelea huku. Unaweza kumwambia namba yake uliipata kutoka kwa dokta (hapo bagamoyo) ili kama atakumbuka anijalie bakshish endapo biashara itafanyika.