Shamba lenye ukubwa wa hekari 14 lililopo Mngazi, Kisaki huko Matombo, Morogoro linauzwa kwa bei ya shilingi milioni 2. Kwa anayehitaji awasiliane namei kwa namba hii 0757361266
Nini kinachoweza kustawi Shamba hili (natural bila mbolea) na Je liko karibu na Mto? maana naskia morogoro huko mito ni mingi kiasi kwamba kila mwanakijiji ana mto wake. Na ni km ngapi kutoka Morogoro mjini? Barabara ya Lami iko umbali gani na hilo shamba?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.