Shamba ekari 1000 zinauzwa

Shamba ekari 1000 zinauzwa

Joined
Jan 3, 2010
Posts
16
Reaction score
3
Wadau mwenye kupenda kuwekeza katika kilimo basi anunue shamba ekari 1000 zinazouzwa kwa shs 120,000 kwa ekari katika kijiji cha Isanga wilaya ya Momba mkoani Mbeya piga 0762246322
 
Tupe jiografia ya shamba na kijiji cha Isanga.
  • Ardhi yake inafaa kwa kilimo cha mazao gani
  • Shamba liko tambarare au lina milima na mabonde
  • Kuna maji ya mto karibu ya shamba au kuna mto wa maji yasiyokauka unapita ndani ya shamba lako.
  • Mauzo ni kwa ekari zote 1000 kwa pamoja au unauza kutegemea uwezo na mahitaji ya mtu.
  • Usafiri wa kufika Isanga ukoje, barabara zinapitika kipindi chote cha mwaka.
  • Je shamba ni la miradhi
  • Kuna mazao gani ya kudumu ndani ya shamba, au ni shamba pori
  • Shamba lina hati ya kijiji
 
mwazembe uje ujibu haya maswali.
 
Back
Top Bottom