Shake your head

Kuna picha passport size ni picha ya mwanaume ameweka mkono wake kifuani na anaonyesha dole gumba, picha ya rangi na mwenye hiyo picha ana asili ya ulaya
 
Shake your head and tell what u did see

Unaona picha ya mtu passport size kavaa koti. Ila hata ukiiangalia hiyo mistari kwa upande flani bila kutikisa kichwa unaona hiyo picha.
 
Wakati natikisa kichwa mtoto wangu kaniuliza baba kakuita nani?daa nimebaki nacheka,ingawa zoezi hilo limepelekea nione pasipoti saizi.
 
hata ukifanya km unailaza kifudifudi cm yako( km ndo unatumia) huyo mtu anaonekana
 
Hata bila ku-shake head hiyo picha inaonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…