Kuna vyama Afrika vilipopata utawala vikapuuza wananchi na vigogo wake wakifurahia kutawala bila kujua ili uendelee kushika madaraka nguvu ya chama ni muhimu . CCM hakikufanya na hakitafanya kosa hilo badala yake hadi sasa kinatimiza wajibu huo ndio maana kinaendelea kuaminiwa na kukubalika na watanzania"
"Hamuwezi kuanzisha vyama mwaka 1992 mshindane na chama kilichoundwa kutokana na msingi madhubuti wa vyama vilivyoasisi Taifa (TANU 1954 ASP 1957) huku wanasiasa wake wakijikweza wana ubavu wa kushinda uchaguzi, anaeota hivyo hiyo ni njozi ya mchana na yenye jinamizi mbaya, CCM bado ndio muarobaini wa maendeleo ya watanzania"
Shaka Hamdu Shaka
Katibu CCM Morogoro
#DarasaLaItikadiVijanaSUA