Mayalla yaaani njaaaa,mzee mwenzangu baada ya kuzikunja za nane nane naona unapopoa mdogo mdogoMkuu Dotto
1. Mtamlaumu bure, kuhama halali yake,
Kujiunga ni kwa bure, kuhama ni haki yake,
Ukizoea vya bure, tavunja heshima yake,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo,
2. Sababu ya matatizo, Mtatiro amehama,
Upinzani ni tatizo, na wengine watahama,
Wapinzani matatizo, wote watakuja hama,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
3. Nchi yetu ni tatizo, watu wetu matatizo,
Viongozi ni tatizo, wananchi matatizo,
Vyama vyetu ni tatizo, serikali matatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
4. CUF ina matatizo, CCM ni tatizo,
Amehama matatizo, amehamia tatizo,
Chama chenye matatizo, ameongeza tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
5. Chadema ni matatizo, viongozi ni tatizo,
Sera zake matatizo, na misingi ni tatizo,
Wakimbia matatizo, waenda kwenye tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
P.
Anaogopa kuimbishwa peopleeeeeesssss kama wakati wa kampeini pale mwanjelwaMagufuli aje na Mbeya. Sio kila siku Mwanza tu. Tumechoka kubaguliwa wakati kodi zetu mnachukua.
Kufika bei, sio lazima uwe na bei, unaweza kujiuza kwa mkopo kusubiria 2020.sina bei,,hapana, sina soko, ningekuwa diwani au kigogo ningekuwa na soko na dhahiri ningekuwa na bei pia.... mm kama kwenda nende kwa mkopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mbona hujapewa hizo teuzi wakati ni msukuma mwenzako?Kwako tatizo linafahamika, pole, huna pa kuhamia kwa sababu kote ni matatizo tupu, ila when you have to choose in between two devils, choose the lesser, tangaza tuu kuhamia, ukavute mpunga, ujilie tuu kivulini kusubiria teuzi!.
P.
Sasa mkuu tutalituaje hili tatizo kwa haya matatizo?Mkuu Dotto
1. Mtamlaumu bure, kuhama halali yake,
Kujiunga ni kwa bure, kuhama ni haki yake,
Ukizoea vya bure, tavunja heshima yake,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo,
2. Sababu ya matatizo, Mtatiro amehama,
Upinzani ni tatizo, na wengine watahama,
Wapinzani matatizo, wote watakuja hama,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
3. Nchi yetu ni tatizo, watu wetu matatizo,
Viongozi ni tatizo, wananchi matatizo,
Vyama vyetu ni tatizo, serikali matatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
4. CUF ina matatizo, CCM ni tatizo,
Amehama matatizo, amehamia tatizo,
Chama chenye matatizo, ameongeza tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
5. Chadema ni matatizo, viongozi ni tatizo,
Sera zake matatizo, na misingi ni tatizo,
Wakimbia matatizo, waenda kwenye tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
P.
hahaha!Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe .
Mimi huwa natangaza bure kwa kujitolea tuu.Mayalla yaaani njaaaa,mzee mwenzangu baada ya kuzikunja za nane nane naona unapopoa mdogo mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Weee mchuuze yaani asikupe wewe msukuma akampe muha?Kufika bei, sio lazima uwe na bei, unaweza kujiuza kwa mkopo kusubiria 2020.
Hata Mtatiro hakuwa mbunge au diwani!.
P.
Wacha mbwembwe hizo mkuu habari za kujitolea aliondika nazo baba wa taifaMimi huwa natangaza bure kwa kujitolea tuu.
Hivyo sijakunja chochote 88.
P.
Kama ni matatizo kila sehemu nini mantiki ya kuhama?Mkuu Dotto
1. Mtamlaumu bure, kuhama halali yake,
Kujiunga ni kwa bure, kuhama ni haki yake,
Ukizoea vya bure, tavunja heshima yake,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo,
2. Sababu ya matatizo, Mtatiro amehama,
Upinzani ni tatizo, na wengine watahama,
Wapinzani matatizo, wote watakuja hama,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
3. Nchi yetu ni tatizo, watu wetu matatizo,
Viongozi ni tatizo, wananchi matatizo,
Vyama vyetu ni tatizo, serikali matatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
4. CUF ina matatizo, CCM ni tatizo,
Amehama matatizo, amehamia tatizo,
Chama chenye matatizo, ameongeza tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
5. Chadema ni matatizo, viongozi ni tatizo,
Sera zake matatizo, na misingi ni tatizo,
Wakimbia matatizo, waenda kwenye tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
P.
Na mwishowe Tujiachie linchi lijiendee litakavyo maana wote tatizo!Mkuu Dotto

Wakurya wa dar ktk ubora waoWajomba na mashangazi,wazee mabarobaro,
Pana fungu la ghawazi, latumiwa na kigaro,
Hununua waziwazi, wanati kama nduaro.
Yale yake maongezi, yamejaa chinjarero,
Kanaswa na hajiwezi, kama nswi kwenye vyero,
Ni wa hovyo utetezi, amefanywa nini sero?
Jamani ndarama hizi, zilizo fungasha ziro,
Zimewatia uchizi, Mwikabe na Mtatiro,
Wameushiriki wizi, Buyungu na Simanjiro.
Huyafungua maozi, aone yenye kasoro,
Ni sifa ya kiongozi, kutatua migogoro,
Hakimbii kama bozi, kutafuta kichochoro.
Kiongozi mfumbuzi, katu haleti uchuro,
Hutafuta utatuzi, wala hatafuti guro,
Ila wapo wapuuzi, hununuliwa kwa yuro.
MISAMIATI
Ghawazi...........fedha
Kigaro...............kikundi
Nduaro...........samaki
Nimekishufu.....nimekitazama
Chinjarero......hofu
Nswi.............samaki
Ndarama.......pesa
Maozi............macho
Bozi...............mpumbavu
Katwa...........katu
Vyero.............mtego wa kunasa samaki
Guro.............uhamaji wa sehemu nyingine
Yuro.............fedha ya umoja wa Ulaya.
18 Agosti 2018 Alhamis 18:31
Jina la Mtunzi Dotto Rangimoto
Jina La Utunzi Jini Kinyonga
Simu +255762845394 Morogoro.View attachment 840527
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza sio kila anayejiita Msukuma ama anayedhaniwa kuwa ni Msukuma, ni lazima kweli ni Msukuma!. Kukulia mahali, na kuizungumza lugha ya hapo ulipokulia, hakukufanyi uwe mtu wa kabila hilo!.
Hivi r.i.p si lina maana zaidi ya mbili?Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe .
HIVI MAYALLA MAANA YAKE NINI? MAANA SI KWA BETI HIZI.Mkuu Dotto
1. Mtamlaumu bure, kuhama halali yake,
Kujiunga ni kwa bure, kuhama ni haki yake,
Ukizoea vya bure, tavunja heshima yake,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo,
2. Sababu ya matatizo, Mtatiro amehama,
Upinzani ni tatizo, na wengine watahama,
Wapinzani matatizo, wote watakuja hama,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
3. Nchi yetu ni tatizo, watu wetu matatizo,
Viongozi ni tatizo, wananchi matatizo,
Vyama vyetu ni tatizo, serikali matatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
4. CUF ina matatizo, CCM ni tatizo,
Amehama matatizo, amehamia tatizo,
Chama chenye matatizo, ameongeza tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
5. Chadema ni matatizo, viongozi ni tatizo,
Sera zake matatizo, na misingi ni tatizo,
Wakimbia matatizo, waenda kwenye tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.
P.
Njaaa haswaa ndiyo tatizo na tamaa za kipumbavuKama ni matatizo kila sehemu nini mantiki ya kuhama?
Ufinyu wa fikra,uvumilivu na ubunifu. Njaa na uviziaji wa fursa kichocheo.
Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko? - JamiiForumsWeee mchuuze yaani asikupe wewe msukuma akampe muha?
Asante sana mkuu Pascal Mayalla leo umenifumbua machoKwanza sio kila anayejiita Msukuma ama anayedhaniwa kuwa ni Msukuma, ni lazima kweli ni Msukuma!. Kukulia mahali, na kuizungumza lugha ya hapo ulipokulia, hakukufanyi uwe mtu wa kabila hilo!.
Hivyo kama ulidhani mimi ni Msukuma, sii lazima niwe ni Msukuma kweli!.
Tatu, sio kila Msukuma, ni kujipendekeza type na kujikombakomba kusaka uteuzi!.
Nitakapoanza kusaka uteuzi, Kwanza nitajiunga CCM, halafu ni nitoke full kujikomba komba na kujipendekeza with full kufagilia.
P.