Massanda OMtima Massanda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 1,056
- 564
Si Msiba peke yake! Akina Ngurumo, Mange, Lissu, Lema, Mchungaji Msigwa, nk. wathibitiwe kwani tabia zao zinafanana na Msiba!Huyu bwana Msiba hasipozuiliwa kuna kitu anakipandikiza ndani ya Watanzania,
Yeye kama raia mwema alipaswa kwenda kurepot mahala husika,
Hii ya kutaja taja watu tu madhara yake ni makubwa sana ,
Atajenga tabia ya watu kupuuza habari nyingine za ukweli wakidhani ni Tanzania ya kutaja taja tu,
Adhibitiwe na ashikiliwe kwa mahijihano zaid
PiaSi Msiba peke yake! Akina Ngurumo, Mange, Lissu, Lema, Mchungaji Msigwa, nk. wathibitiwe kwani tabia zao zinafanana na Msiba!
Si Msiba peke yake! Akina Ngurumo, Mange, Lissu, Lema, Mchungaji Msigwa, nk. wathibitiwe kwani tabia zao zinafanana na Msiba!
Na huko hawezi kugusa anajua ndio wanaomuweka madarakaniSema pamoja haya mambo yanatokea hawajawai kuigusa family za maaskari wa JWTZ.
Wakiwagusa family za maaskari wa JWTZ ndio tutapata jibu kamili
Basi wadudu wameshafika kwenye brain meningesHuyo mwathirikà wa ukimwi anatafutià pa kufià.
Hyo ndo pointNani amdhibiti, nani anamtuma. sema anayemtuma aache kumtuma.
Weka na wewe majibu ya vipo hadharani tukujue basiHuyo mwathirikà wa ukimwi anatafutià pa kufià.
Wa kuambiwa ni Maliyamungu Bashite amkataze kwani ndiyo yeye anayemtuma kwenye kurupoka UzushiHuyu bwana Msiba hasipozuiliwa kuna kitu anakipandikiza ndani ya Watanzania,
Yeye kama raia mwema alipaswa kwenda kurepot mahala husika,
Hii ya kutaja taja watu tu madhara yake ni makubwa sana ,
Atajenga tabia ya watu kupuuza habari nyingine za ukweli wakidhani ni Tanzania ya kutaja taja tu,
Adhibitiwe na ashikiliwe kwa mahijihano zaid
Tujadili HOJA zake. Tuache Kumjadili MUSIBA kama Musiba.Huyu bwana Msiba hasipozuiliwa kuna kitu anakipandikiza ndani ya Watanzania,
Yeye kama raia mwema alipaswa kwenda kurepot mahala husika,
Hii ya kutaja taja watu tu madhara yake ni makubwa sana ,
Atajenga tabia ya watu kupuuza habari nyingine za ukweli wakidhani ni Tanzania ya kutaja taja tu,
Adhibitiwe na ashikiliwe kwa mahijihano zaid
Lisu mlitaka kumuua, lema na msigwa kila siku mnawakamata, Ngurumo amewakimbia nyie watesi na Mange angekuwa Tz sijui kama angekuwa hai! Na mara nyingi hawa husema ukweli msioupenda! Hivi haya maneno ya Musiba yangesemwa na Lema dhidi ya wana ccm hali ingekuwaje? Kuna wakati huyu Lema alieleza ndoto yake kuhusu Pobga kilichompata kila mtu anakijua! Kwa nini Musiba anaachwa anabwabwaja? Polisi wamkamate asaidie kutoa ushahidi!Si Msiba peke yake! Akina Ngurumo, Mange, Lissu, Lema, Mchungaji Msigwa, nk. wathibitiwe kwani tabia zao zinafanana na Msiba!
Nao pia wadhitiwe msilete double standard hapa...
Kuna Press imefanywa inayohimiza watu wengine wauawe!!Mbn nyie mnafanya sana press tena na maneno ya hovyo zaidi lakini hakuna watu wanawazuia?