MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
kutokana na nukuu zinazoendelea kutolewa na wachambuzi mbalimbali (Hapa namuongelea LISU) katika mchakato wa katiba mpya, imethibitisha pasipo shaka kuwa Mh. Dr. Mwakyembe anakikana kile alichokiandika miaka ya Tisini ili kupata udaktari wa falsafa (PhD). Katika kitabu chake alinukuliwa akisema kuwa muundo wa muungano wa Tanzania ni shirikisho pasipo na shaka, na kuthibitisha kuwa migogoro itamalizwa kwa kuwa na serikali tatu! Ni kwa hoja zake hizo aliweza kutunukiwa shahada ya uzamivu (PhD). Sasa kwa kuwa anazikana hoja hizo maana yake ni kuwa alipotosha watu katika utafiti wake!Aidha aliegemea upande ambao alikuwa anautaka (bias) au aliamua kufuata wengine walisemaje!Sasa kwa kuwa hata yeye hauamini utafiti wake je sio haki yake kuondolewa udaktari wake!?
Prof. shivji nae ameyakana maandiko yake ya miaka ya 90, ambayo mengine aliyatumia kupanda cheo mpaka kuwa profesor, je nae sio haki yake ashushwe cheo hicho?
Nawasilisha
Je nyakati tofauti haziwezi kumfanya mtu kuwa na mitizamo tofauti? Najiuliza tu.
mtazamo tofauti kwenye utafiti unaruhusiwa na unaweza kuukanusha utafiti wa awali!Lakini mwakyembe hajafanya hivyo!
Kutokana na nukuu zinazoendelea kutolewa na wachambuzi mbalimbali (Hapa namuongelea Lissu) katika mchakato wa katiba mpya, imethibitisha pasipo shaka kuwa Mh. Dr. Mwakyembe anakikana kile alichokiandika miaka ya Tisini ili kupata udaktari wa falsafa (PhD).
Katika kitabu chake alinukuliwa akisema kuwa muundo wa muungano wa Tanzania ni shirikisho pasipo na shaka, na kuthibitisha kuwa migogoro itamalizwa kwa kuwa na serikali tatu! Ni kwa hoja zake hizo aliweza kutunukiwa shahada ya uzamivu (PhD). Sasa kwa kuwa anazikana hoja hizo maana yake ni kuwa alipotosha watu katika utafiti wake!
Aidha aliegemea upande ambao alikuwa anautaka (bias) au aliamua kufuata wengine walisemaje!Sasa kwa kuwa hata yeye hauamini utafiti wake je sio haki yake kuondolewa udaktari wake!?
Prof. Shivji nae ameyakana maandiko yake ya miaka ya 90, ambayo mengine aliyatumia kupanda cheo mpaka kuwa profesor, je nae sio haki yake ashushwe cheo hicho?
Nawasilisha.

Wanafiki wapika majungu hamjambo, endelee kuleta mada za kinafiki hapa ili muweze kuganga njaa. Unaposema PHD ya Dk.mwakyembe ni feki baba yako au wewe unayo, acheni unafiki wa kinjaa njaa, Dk.Mwakyembe ni kichwa.Unafiki wenu hauna maana. Kwanza lzm mtumie akili, Dk.Mwakyembe hayasema lolote kuhusu maelezo ya mnafiki wa Chadema LISSU kwa hiyo mnamhukumu Mwakyembe tu kabla yeye hayajibu kitu. Wajinga kweli. Bahati mbaya mnaochangia humu wote asilimi 98 ni mi-Chadema.
ukweli unauma sana, ni sawa na wewe kuitwa MSUKULE WA MZEE MTEI. kazi unayoKutokana na nukuu zinazoendelea kutolewa na wachambuzi mbalimbali (Hapa namuongelea Lissu) katika mchakato wa katiba mpya, imethibitisha pasipo shaka kuwa Mh. Dr. Mwakyembe anakikana kile alichokiandika miaka ya Tisini ili kupata udaktari wa falsafa (PhD).
Katika kitabu chake alinukuliwa akisema kuwa muundo wa muungano wa Tanzania ni shirikisho pasipo na shaka, na kuthibitisha kuwa migogoro itamalizwa kwa kuwa na serikali tatu! Ni kwa hoja zake hizo aliweza kutunukiwa shahada ya uzamivu (PhD). Sasa kwa kuwa anazikana hoja hizo maana yake ni kuwa alipotosha watu katika utafiti wake!
Aidha aliegemea upande ambao alikuwa anautaka (bias) au aliamua kufuata wengine walisemaje!Sasa kwa kuwa hata yeye hauamini utafiti wake je sio haki yake kuondolewa udaktari wake!?
Prof. Shivji nae ameyakana maandiko yake ya miaka ya 90, ambayo mengine aliyatumia kupanda cheo mpaka kuwa profesor, je nae sio haki yake ashushwe cheo hicho?
Nawasilisha.
Wanafiki wapika majungu hamjambo, endelee kuleta mada za kinafiki hapa ili muweze kuganga njaa. Unaposema PHD ya Dk.mwakyembe ni feki baba yako au wewe unayo, acheni unafiki wa kinjaa njaa, Dk.Mwakyembe ni kichwa.Unafiki wenu hauna maana. Kwanza lzm mtumie akili, Dk.Mwakyembe hayasema lolote kuhusu maelezo ya mnafiki wa Chadema LISSU kwa hiyo mnamhukumu Mwakyembe tu kabla yeye hayajibu kitu. Wajinga kweli. Bahati mbaya mnaochangia humu wote asilimi 98 ni mi-Chadema.
Mleta uzi, jibu ni hili! Ukiisha ingia ccm akili unatakiwa uwe unaziacha nyumbani, ukiwa kwenye vikao, mikutano yao (hata ya kampeni za uchaguzi) unatakiwa uwe kichwa box, ukinunuliwa ndio kabisa! Sorry, nimekumbuka neno moja kwenye Biblia, "Mwanangu, usitoe rushwa kwakua rushwa hupofusha macho ya wenye akili" But pia naomba nikubaliane na wewe, waheshimiwa hawa, H. MWakyembe na Issa Shivji (sijatumia majina ya vyeti vyao makusudi) wanatakiwa kuja hadharani na kutoa clarrifications ya kile walicho kiandika cause kuna watu walifanya reference kupitia vitabu vyao na wakafauru mitihani na hata wenyewe pia walibadiri majina ya vyeti vyao kupitia maandishi hayo hayo.
Hii mada ni ya kipuuzi