huyo Dk Eliamani Sedoyeka mbona tunasikia na yeye vyeti vyake Feki, tunachotaka ni kazi, yuko Profesa mmoja (km sikosei Tuntemeke Sanga) alimwambia mwl nipishe nitawale kwani mm nimesoma sana hapa nchini kuliko wote.
Hivi kuna kitu gani hapa Duniani utaandika ambacho ni kipya kabisa, labda urudi kutoka jehanamu au km kuna Mbingu