Haha ...π‘Yaani hiki alichoandika ndiyo sauti ilikuwa inamwambia " Dauda sema baba"?
Kkkkkmmmmkkkk, nimecheka sana.Yaani hiki alichoandika ndiyo sauti ilikuwa inamwambia " Dauda sema baba"?
Kwani huyo Shafii Dauda anatambua huu usajili anao uponda, umemgharimu mwekezaji kiasi cha Tsh. Bilioni 1.5?Imeandikwa kwenye ukurasa wa Shaffih Dauda.
Muda mwingine nikikaa nikifikiria natamani nikae kimya, ila ndani ya moyo wangu kuna sauti inaniambia,
"Dauda Sema Baba, Sema tu, Chungu siku zote ndio dawa"
Japo nafahamu muda mwingine usajili ni kama KAMARI, au tuseme bahati nasibu. Lakini kwa Simba hii, "This is too much".
Naelewa sio kila mchezaji anaesajiliwa anaweza ku'Perform hata kama huko alikotoka alikua amekiwasha sana.
Lakini, unapoona umefanya usajili na zaidi ya 90% ya wachezaji wako uliowasajili ndani ya msimu husika wameshindwa kuonyesha kiwango kizuri basi unatakiwa utambue ipo shida mahala.
Check hii list ya watu waliowasajili msimu huu
Nelson Okwa
Augustine Okrah
Habib Kyombo
Nassor Kapama
Mohamed Outarra
Ismail Sawadogo
Victor Akpan
Moses Phiri
Kati ya hao wachezaji wote, ni Moses Phiri pekee ambae ameonyesha anaweza kutegemewa na timu ikapata matokeo inayoyataka.
Lakini asilimia kubwa ya wachezaji waliobaki wengi wanaozea benchi, na wengine wmefurushwa kwenda kuboresha viwango vyao kwenye timu zingine kwa mkopo.
Mambo ya kusajili wachezaji wa mafungu kama unasagula sagula nguo za mtumba soko la karume madhara yake ndio haya unakua na kundi kubwa la wachezaji ambao ni
"HOPELESS"
Nani anawafelisha Simba kwenye usajili? Inauma sana, kiukweli napata mfadhaiko kwenye hili suala la Simba sc.
Ipo shida mahali.
Ha ha ha mkuu hamna kitu hapo maana wengi walishasema huyu ataleta vibweka tu au kaona Mo kasema ndiyo naye anataka kutembelea humo, ni upuuzi halafu ni mtu mzima kbsKkkkkmmmmkkkk, nimecheka sana.
Kwani hilo nalo sio jambo?
Hiyo sauti itakua ilikua ikimuimboa kibao kataImeandikwa kwenye ukurasa wa Shaffih Dauda.
Muda mwingine nikikaa nikifikiria natamani nikae kimya, ila ndani ya moyo wangu kuna sauti inaniambia,
"Dauda Sema Baba, Sema tu, Chungu siku zote ndio dawa"
Japo nafahamu muda mwingine usajili ni kama KAMARI, au tuseme bahati nasibu. Lakini kwa Simba hii, "This is too much".
Naelewa sio kila mchezaji anaesajiliwa anaweza ku'Perform hata kama huko alikotoka alikua amekiwasha sana.
Lakini, unapoona umefanya usajili na zaidi ya 90% ya wachezaji wako uliowasajili ndani ya msimu husika wameshindwa kuonyesha kiwango kizuri basi unatakiwa utambue ipo shida mahala.
Check hii list ya watu waliowasajili msimu huu
Nelson Okwa
Augustine Okrah
Habib Kyombo
Nassor Kapama
Mohamed Outarra
Ismail Sawadogo
Victor Akpan
Moses Phiri
Kati ya hao wachezaji wote, ni Moses Phiri pekee ambae ameonyesha anaweza kutegemewa na timu ikapata matokeo inayoyataka.
Lakini asilimia kubwa ya wachezaji waliobaki wengi wanaozea benchi, na wengine wmefurushwa kwenda kuboresha viwango vyao kwenye timu zingine kwa mkopo.
Mambo ya kusajili wachezaji wa mafungu kama unasagula sagula nguo za mtumba soko la karume madhara yake ndio haya unakua na kundi kubwa la wachezaji ambao ni
"HOPELESS"
Nani anawafelisha Simba kwenye usajili? Inauma sana, kiukweli napata mfadhaiko kwenye hili suala la Simba sc.
Ipo shida mahali.
Itakua sauti ya shoga ake wala sio Mungu π π π πYaani hiki alichoandika ndiyo sauti ilikuwa inamwambia " Dauda sema baba"?
Yani leo ndio mnagunduwa kama hilo jamaa ni jinga Fulani tu?Yaani hiki alichoandika ndiyo sauti ilikuwa inamwambia " Dauda sema baba"?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakua sauti ya shoga ake wala sio Mungu [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Yanga hata makundi hawakufikaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye robo fainali ndiyo watu watamuelewa Dauda baada ya kipigo cha mbwa koko
Zamani walikuwa wanatulisha matango poliShafii mbobevu wa Propaganda redioni.....
Zama hizi ambazo influence ya redio imepotea, anajitahidi sana kuwa relative lakini anaishia kuchekesha.
MO kaongea kitu kama hicho jana , yeye anasema kuna sauti imemwambia, mara chungu ndio tamu.