Shafii kaumia sana kuona Yanga ikishinda goli nne.
Yanga ikishinda magoli machache, wachambuzi uchwara wanasema imekwisha makali na ikishinda goli nyingi wanasema imenunua mechi. Wote wanasahau kuwa, katika mechi zote hizo Yanga wameonyesha uwezo mkubwa wa kucheza, kumiliki na kushambulia timu pinzani kupitiliza.
Shafii asisahau kuwa, wiki mbili zijazo Yanga itacheza na Simba na huenda kipigo kikarejewa upya.