huyu jamaa mimi nilishamshtukiaga, maana alikua anampost sana samatta, kwenye kipindi chake cha michezo clouds anampigia sana debe samatta, sisi wataalamu tukahisi kabisa huyu jamaa atakua ndie agent wa samatta.
Namskia hapa clouds Fm kwenye xxl jamaa kajitangaza kua yeye ndie agent wa samatta chini ya Kampuni yake SHADAKA sports management.
Na inasemekana Kwenye deal la samatta kwenda aston Villa Dauda kavuta mpunga mrefu sana.
Umetufunga kamba ndugu. Kasema yeye ni mfanyakazi kwenye kampuni ambayo ni agent wa Mbwana. Alipoulizwa umevuta mpunga akasema hapana, alipoulizwa mshahara wa Samagoal alisema hakuna anayeujua.
Shaffih Dauda Kajuna (SHADAKA) hawa wana deal na kazi ya uagent hasa wachezaji wetu wa kibongo tumpongeze shaffih sio kwa samatta tu kiukweli jamaa anatafuta njia kwa wengi kutoka nje
Shaffih Dauda Kajuna (SHADAKA) hawa wana deal na kazi ya uagent hasa wachezaji wetu wa kibongo tumpongeze shaffih sio kwa samatta tu kiukweli jamaa anatafuta njia kwa wengi kutoka nje