dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,776
AJIRA ni kwenye SIASA ndio maana hata Wezi wanakimbiliaMimi nilidhani yuko Qatar kumbe karudi ili kuhudhuria mkutano mkuu mkubwa wa ccm utakao fanyika tareh7-8/12/2022 mjini Dodoma
Pia na mm najiandaa kuanza safari usiku huu kutokea Chunya, Mbeya kupitia tabora ili kuweza kuudhuria mkutano mkuu huo.
Nawasilisha kwa sasa safarini kutokea Chunya, Mbeya.
View attachment 2437147
Dodoma inaenda kugeuzwa Sodoma.
Ikiwezekana Muumba awatie kiberiti ili kizazi chao kipotee kabisa kwenye uso wa duniaDodoma inaenda kugeuzwa Sodoma.
Matapeli wote wanakimbilia kwenye siasa za ccmMimi nilidhani yuko Qatar kumbe karudi ili kuhudhuria mkutano mkuu mkubwa wa CCM utakaofanyika tareh7-8/12/2022 mjini Dodoma.
Pia na mimi najiandaa kuanza safari usiku huu kutokea Chunya, Mbeya kupitia Tabora ili kuweza kuudhuria mkutano mkuu huo.
Nawasilisha kwa sasa safarini kutokea Chunya, Mbeya.
View attachment 2437147
Mimi nilidhani yuko Qatar kumbe karudi ili kuhudhuria mkutano mkuu mkubwa wa CCM utakaofanyika tareh7-8/12/2022 mjini Dodoma.
Pia na mimi najiandaa kuanza safari usiku huu kutokea Chunya, Mbeya kupitia Tabora ili kuweza kuudhuria mkutano mkuu huo.
Nawasilisha kwa sasa safarini kutokea Chunya, Mbeya.
View attachment 2437147
Dodoma inaenda kugeuzwa Sodoma.
Ahahahah mm siyo tapeliMatapeli wote wanakimbilia kwenye siasa za ccm
Saka na wewMsaka fursa tu huyo.
Kbsaa hkn shidaHata ungekua wewe kaka
FursaMimi nilidhani yuko Qatar kumbe karudi ili kuhudhuria mkutano mkuu mkubwa wa CCM utakaofanyika tareh7-8/12/2022 mjini Dodoma.
Pia na mimi najiandaa kuanza safari usiku huu kutokea Chunya, Mbeya kupitia Tabora ili kuweza kuudhuria mkutano mkuu huo.
Nawasilisha kwa sasa safarini kutokea Chunya, Mbeya.
View attachment 2437147
..ndiko ambapo wanahisi watakuwa salamaMatapeli wote wanakimbilia kwenye siasa za ccm