Shabiki huyu amenikosha

Shabiki huyu amenikosha

UncleJoe

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
624
Reaction score
508
hii imeoneshwa sekunde chache baada ya mabingwa watetezi spain kuondoshwa kwenye michuano ya kombe la dunia na Chile kwa mabao mawili kwa bila


10487186_563157853805755_4677861976345442853_n.jpg
 
Tehe! tehe! tehe! watu washap, Spain kwao hakukaliki nadhani hata kocha ataishia njiani sidhani kama atarudi spain kuchukua vitu vyake.....sasa kazi kwa wafrika kugombania kombe lisilokuwa na mwenyewe
 
duuuu aaaaah kama ningebet kila kitu destroyed maaana huu mpira majanga now daz duuuu aueleweki unakoelekea nani atakua binhwa unpredictable aisee wanao bet muavhe itakula kwenu maana wanaotegemewa watolewa mapema kaz kweli kweli bado brazirl ha ha ha
 
Kiranga niligoogle kuuliza kama spana ina maana ya spain in which language, nikakutana na majibu hayo
 
Last edited by a moderator:
sasa sijakusoma mkuu ni spain imetoka duara jana au nini tena?


nini maana ya SPANA?

AU ni kanchi kadogo kama kanavyoelezewa hapa chini


sapna


Sapna is a town and municipality in northeastern Bosnia and Herzegovina. Administratively, it is part of the Federation of Bosnia and Herzegovina and Tuzla Canton.

mkuu toa ufafanuzi maana umetufumba

kwangu naona ni timu ya spain iliyokosa goli jana ikaambulia duara
 
hii imeoneshwa sekunde chache baada ya mabingwa watetezi spain kuondoshwa kwenye michuano ya kombe la dunia na Chile kwa mabao mawili kwa bila


10487186_563157853805755_4677861976345442853_n.jpg

Adios CAMERON !! kwaheri Spain wakwanza kuingina na wakwanza kufungasha!! wakifuatiwa na Cameron!!
 
Wa kwanza kufungasha ni Australia,,,
wengi watufungasha lakini babaLao ni cameron... hao ni aibu tupu hadi wametumia kupigana vichwa wenyewe kwa wenyewe !! Puuuuuuyuf !!
<SCRIPT type=text/javascript>$render("advert-post-script-load");</SCRIPT>
<!-- Embedding the video player --><!-- This is the embedded player component -->Play media
 
mimi niko faa, nilihisi ni ile spana ya kufunga na kufungulia nati
 
Google ina lugha zote?

hata kama haina lugha zote.je neno SPANA ni spain?.
jana baada ya mpira kuisha,nilijarabu ku tweet kwa hashtag ya hilo neno,twitter ikaniletea "adios espana" badala ya adios spana.tatizo waafrica wanadhani watu wenye ngozi nyeupe huwa hawakosei.kiukweli hilo neno spana kwa maana ya spain halipo.labda kama lilibeba tafsiri nyingine mbali na hiyo.
 
wengi watufungasha lakini babaLao ni cameron... hao ni aibu tupu hadi wametumia kupigana vichwa wenyewe kwa wenyewe !! Puuuuuuyuf !!
<script type="text/javascript">$render("advert-post-script-load");</script>
<!-- Embedding the video player --><!-- This is the embedded player component -->Play media
Wmetutia aibu sana Waafrica,inabidi kuwepo na adhabu ya kutoshiriki katika mashindano flani ikthibika ya kuwa team ilicheza chini ya kiwango katika mashindano otherwise Africa tutakuwa watazamji milele.....NILIKUWA SIJUI KWA MIAKA 28 Algeria haijawahi pata bao lolote katika mashindano yanayoendelea huko Brazil,juzi ndo walitoa mikosi,kweli team kama hizi kila wakati wanapata nafasi ya kushiriki mashindano haya lakini ni useless
 
Back
Top Bottom