AKILI TATU JF-Expert Member Feb 10, 2016 2,658 2,804 Sep 24, 2016 #1 Kwa hapa Tanzania hali ingekuwa kama hivi,Jamaa angekuwa yupo jela sasa,lakini kwa wenzetu huko hali imekuwa muswano na furaha zaidi tazama hapo video
Kwa hapa Tanzania hali ingekuwa kama hivi,Jamaa angekuwa yupo jela sasa,lakini kwa wenzetu huko hali imekuwa muswano na furaha zaidi tazama hapo video
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Aug 13, 2015 8,547 10,273 Sep 24, 2016 #2 Angekuwa anaugulia maumivu ya virungu vya mpingo.
AKILI TATU JF-Expert Member Feb 10, 2016 2,658 2,804 Sep 25, 2016 Thread starter #4 Papushikashi said: Kama wanafanana Click to expand... sio kama wanaanana kweli yani,yani duniani wawili wawili mkuu
Papushikashi said: Kama wanafanana Click to expand... sio kama wanaanana kweli yani,yani duniani wawili wawili mkuu
AKILI TATU JF-Expert Member Feb 10, 2016 2,658 2,804 Sep 25, 2016 Thread starter #5 Guasa Amboni said: Angekuwa anaugulia maumivu ya virungu vya mpingo. Click to expand... tena na jinsi hawa walinzi wetu wanavyopenda ujiko,angepigwa hadharani bila kujali utu wake
Guasa Amboni said: Angekuwa anaugulia maumivu ya virungu vya mpingo. Click to expand... tena na jinsi hawa walinzi wetu wanavyopenda ujiko,angepigwa hadharani bila kujali utu wake