Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,303
- 29,874
Mwanamasumbwi aliyewahi kuzichapa na Mandoga na kuibuka na ushindi mzito SHABANI Kaoneka amerekodiwa akiwa Katika mahojiano na clouds TV ambapo amesema Kuna siku alikuwa kachoka Hana hata dinali ya kununua kitunguu huku boss mwenye nyumba akihitaji pesa yake ya kodi ambapo amesema baada ya hapo Kuna kijana alimpigia simu akiwa live kwenye mahojiano akasema anamtumia million moja alipotuma akapotea, yaani anapiga simu inasema namba unayopiga haipo na huyo mtu hakupiga simu tena mpaka Leo na hajui ni nani aliyetuma.