vvvv JF-Expert Member Joined Apr 12, 2018 Posts 508 Reaction score 909 Oct 3, 2025 #1 Tutamsahau mda si mrefu Yanga wamemmaliza gafla
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 10,118 Reaction score 18,016 Oct 3, 2025 #2 Wamtoe kwa mkopo aende Singida!!
Shammy- JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 7,179 Reaction score 18,850 Oct 3, 2025 #3 Leo lime timia...tukose wote
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 10,745 Reaction score 29,220 Oct 3, 2025 #4 Pensheni anayokula kule kwa wajingajinga hata wewe usingeikataa. Mshahara wa miaka mi3 unalipwa ndani ya mwaka m1 wewe ungekataa?
Pensheni anayokula kule kwa wajingajinga hata wewe usingeikataa. Mshahara wa miaka mi3 unalipwa ndani ya mwaka m1 wewe ungekataa?
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 5,276 Reaction score 10,276 Oct 3, 2025 #5 Acha akili zimkae sawa huyo kenge, kmmke kabisa!
Joe1016 JF-Expert Member Joined May 25, 2025 Posts 481 Reaction score 817 Oct 4, 2025 #6 Mi nafkiri ni mfumo Wa kocha haukua rafiki kwake anaweza akaja kocha mwingine akawa chaguo Bora katika kikosi Cha kwanza tuweke na ka akiba kidogo Cha maneno
Mi nafkiri ni mfumo Wa kocha haukua rafiki kwake anaweza akaja kocha mwingine akawa chaguo Bora katika kikosi Cha kwanza tuweke na ka akiba kidogo Cha maneno
Blueboy Jr JF-Expert Member Joined Jan 9, 2024 Posts 411 Reaction score 608 Oct 4, 2025 #7 Si tulikubaliana anakuja kuchukua kinua mgongo au
Dennis Robert Shughuru JF-Expert Member Joined May 30, 2024 Posts 4,181 Reaction score 6,214 Oct 4, 2025 #8 TAI DUME said: Pensheni anayokula kule kwa wajingajinga hata wewe usingeikataa. Mshahara wa miaka mi3 unalipwa ndani ya mwaka m1 wewe ungekataa? Click to expand... Ila wageni wakipewa mshahara mkubwa sawa kwa wazawa ni nongwa ama kweli mchawi ni anayekujua
TAI DUME said: Pensheni anayokula kule kwa wajingajinga hata wewe usingeikataa. Mshahara wa miaka mi3 unalipwa ndani ya mwaka m1 wewe ungekataa? Click to expand... Ila wageni wakipewa mshahara mkubwa sawa kwa wazawa ni nongwa ama kweli mchawi ni anayekujua
W waleed012 JF-Expert Member Joined Jan 20, 2025 Posts 1,321 Reaction score 1,908 Oct 4, 2025 #9 Dennis Robert Shughuru said: Ila wageni wakipewa mshahara mkubwa sawa kwa wazawa ni nongwa ama kweli mchawi ni anayekujua Click to expand... ukiwa raisi unatuahidi nini katika hili?
Dennis Robert Shughuru said: Ila wageni wakipewa mshahara mkubwa sawa kwa wazawa ni nongwa ama kweli mchawi ni anayekujua Click to expand... ukiwa raisi unatuahidi nini katika hili?
N NgerukeAbra JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 2,941 Reaction score 3,722 Oct 4, 2025 #10 Bado Mzamiru na Kibu wakafuate mafao yao!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,279 Reaction score 185,556 Oct 4, 2025 #11 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,749 Reaction score 28,144 Oct 5, 2025 #12 NgerukeAbra said: Bado Mzamiru na Kibu wakafuate mafao yao! Click to expand... Watacheza wapi hao? Yanga huleta wachezaji wakali kama shabalala alivyo Sasa huyo rasta aje kufagia?
NgerukeAbra said: Bado Mzamiru na Kibu wakafuate mafao yao! Click to expand... Watacheza wapi hao? Yanga huleta wachezaji wakali kama shabalala alivyo Sasa huyo rasta aje kufagia?
Somalia_Prince Senior Member Joined Dec 15, 2024 Posts 196 Reaction score 229 Oct 6, 2025 #13 NgerukeAbra said: Bado Mzamiru na Kibu wakafuate mafao yao! Click to expand... Wakishawasajili wanakwambia kule walikua hawana furaha afu badae wakifulia wanakwambia tuliwasajilia nin
NgerukeAbra said: Bado Mzamiru na Kibu wakafuate mafao yao! Click to expand... Wakishawasajili wanakwambia kule walikua hawana furaha afu badae wakifulia wanakwambia tuliwasajilia nin
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,791 Oct 6, 2025 #14 Mafao ya uzeeni
M Mbege10 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2014 Posts 1,449 Reaction score 2,374 Oct 7, 2025 #15 Its Pancho said: Watacheza wapi hao? Yanga huleta wachezaji wakali kama shabalala alivyo Sasa huyo rasta aje kufagia? Click to expand... Ni kawaida yenu akiwa SIMBA SC mnawaita wabovu ila wakija kwenu mnawasifia. Kama mlikuwa mnawasifia kina Yikpe mnadhani tunawaonaje.
Its Pancho said: Watacheza wapi hao? Yanga huleta wachezaji wakali kama shabalala alivyo Sasa huyo rasta aje kufagia? Click to expand... Ni kawaida yenu akiwa SIMBA SC mnawaita wabovu ila wakija kwenu mnawasifia. Kama mlikuwa mnawasifia kina Yikpe mnadhani tunawaonaje.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Oct 7, 2025 #16 Karne said: Wamtoe kwa mkopo aende Singida!! Click to expand... πππππ
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Oct 7, 2025 #17 Its Pancho said: Watacheza wapi hao? Yanga huleta wachezaji wakali kama shabalala alivyo Sasa huyo rasta aje kufagia? Click to expand... Mlivyoku mna mnanga ni uchochoro, eti leo mchezaji mkalii. ππππππ
Its Pancho said: Watacheza wapi hao? Yanga huleta wachezaji wakali kama shabalala alivyo Sasa huyo rasta aje kufagia? Click to expand... Mlivyoku mna mnanga ni uchochoro, eti leo mchezaji mkalii. ππππππ
Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,761 Reaction score 3,510 Oct 8, 2025 #18 Its Pancho said: Watacheza wapi hao? Yanga huleta wachezaji wakali kama shabalala alivyo Sasa huyo rasta aje kufagia? Click to expand... Mkude na Okrah walikuwa na ukali gani,?
Its Pancho said: Watacheza wapi hao? Yanga huleta wachezaji wakali kama shabalala alivyo Sasa huyo rasta aje kufagia? Click to expand... Mkude na Okrah walikuwa na ukali gani,?
T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 15,788 Oct 8, 2025 #19 Aisee Nilidhani huo mshumaa ni ...... Umezimishwa...
G gwapole JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 1,069 Reaction score 1,526 Oct 8, 2025 #20 cocastic said: Mlivyoku mna mnanga ni uchochoro, eti leo mchezaji mkalii. ππππππ Click to expand... Hapo ndipo huwa nakupenda mchambuzi mahiri wa simba
cocastic said: Mlivyoku mna mnanga ni uchochoro, eti leo mchezaji mkalii. ππππππ Click to expand... Hapo ndipo huwa nakupenda mchambuzi mahiri wa simba