Kwa kukimbia Kenya ni namba moja Duniani hilo halina ubishi lkn hata hizo mbiyo za watu wa Rift Valley ni white mans project!
Mzungu ndiye aliyegundua kwanza uwezo mkubwa wa watu wa Rift Valley na kuundeleza na leo hii wanaendeleza tu kile Mzungu alichoanzisha hivyo ni fair kusema bila Mzungu hao wakimbiaji wasingefika popote!
Nchi ya Kenya chini ya Waafrika wa Kikenya, haijawahi kujenga mradi mkubwa wowote tangu Uhuru, kila kilichokuwepo kilijengwa na Wazungu, hivyo hii SGR ndiyo mradi wa kwanza wa Black Kenya kwa miaka zaidi ya 50!
Kinyume na TZ yetu sisi tumejenga karibia kila kitu wenyewe, hata TAZARA tumejenga baada ya Uhuru achilia mbali miradi mingine mikubwa!
Hahah nimependa hiyo ya snow sijui hata unataka kusema nini, anyway vyovyote vile lkn kichwa chako kimejaa wadudu nafikiri wale funza wenu walifika mpka kichwani next time jaribu kuvaa viatu ili funza wasiendelee kukudhuru!
kama ni data tu alitaka, si angeuliza tu angepewa.... hamna haja ya kutumia njia ndefu. lakini sasa angalau umeona ule ujinga ambao tunaopinzani kila kuchaoBarbadosa anajua kuchukua data nmemkubali!! Kwahyo alitaka k ufahamu ameshafahamu sasa
Mkenya gani ana tumia lugha ya kiswahili vizuri namna hii na anapangilia hoja zake vema namna hii!Sitapoteza muda mwingi kukujibu maana ni kama huwa unavuta mmea fulani, maana hii mada huwa unaibuka nayo kwa mwezi mara moja, mwanzoni tulihangaika kukuelimisha, tukakuletea data nyingi tukitegemea utakua na akili. Lakini baada ya mwezi mmoja unarudia hoja ile ile huku ukitumia kichwa tofauti.
Kifupi ni kwamba nchi yetu ya Kenya tumejijengea wenyewe, tulishaorodhesha humu miradi yote ambayo imekua ikiendelea Kenya. Sina haja ya kuyarudia yote. Lakini miaka ya themanini tulicheleweshwa na chama tawala dhalimu cha wakati ule, kama jinsi Tanzania inacheleweshwa na CCM hadi leo. Tanzania ya leo inayojinadi ya kubana matumizi, mnajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini maeneo ya Chato ambapo hamtegemei mtu yeyote wa kimataifa kutua pale. Bora hata mngeboresha Bukoba iwe ya kimataifa. Mambo kama hayo ndio yalituchelewesha sana kipindi cha uongozi wa chama tawala cha wakati ule.
Lakini punde tu, tulipokibadilisha na kukipiga chini hicho chama, Kenya ilipepea na kuiacha Tanzania kwenye vumbi na lindi la umaskini. Hata Tanzania itawabidi mfikie huo uamuzi, ikiwezekana kwenye uchaguzi wa 2020 hapo ndio mtaona nchi inaanza kupiga hatua za kweli. Lakini kwa sasa mtaendelea kuona vioja na ukurupukaji wa hali ya juu, mara mnahamia Dodoma, mara naona eti Makonda kasema watu wa Mikoani msije Dar bila sababu maalum, mara watu wasiokua na kazi wahesabiwe Dar, mara kushtukiza kule mara hiki, mara kile, yaani hakuna mikakati, hakuna mpango wowote, ni kukurupuka full kwenda mbele.
Ningependa kukumbushwa tuu ulimaanisha kukejeli Kama ilivyo kawaida yenyu nyinyi Kama watani wetu. Lakini ikibainika ya kuwa huo ndio mtazamo wako na wenye kukuunga mkono , basi TZ Kama nchi ipo pabaya. Kama hamyajui Yale yanayotendeka ujiranini, mtayajua aje ya nchi za ng'ambo na ulimwengu kwa ujumla kwa ajili ya kuendanisha na ulimwengu wa sasa?Nchi ya Kenya chini ya Waafrika wa Kikenya, haijawahi kujenga mradi mkubwa wowote tangu Uhuru, kila kilichokuwepo kilijengwa na Wazungu, hivyo hii SGR ndiyo mradi wa kwanza wa Black Kenya kwa miaka zaidi ya 50!
Kinyume na TZ yetu sisi tumejenga karibia kila kitu wenyewe, hata TAZARA tumejenga baada ya Uhuru achilia mbali miradi mingine mikubwa!
Ningependa kukumbushwa tuu ulimaanisha kukejeli Kama ilivyo kawaida yenyu nyinyi Kama watani wetu. Lakini ikibainika ya kuwa huo ndio mtazamo wako na wenye kukuunga mkono , basi TZ Kama nchi ipo pabaya. Kama hamyajui Yale yanayotendeka ujiranini, mtayajua aje ya nchi za ng'ambo na ulimwengu kwa ujumla kwa ajili ya kuendanisha na ulimwengu wa sasa?Nchi ya Kenya chini ya Waafrika wa Kikenya, haijawahi kujenga mradi mkubwa wowote tangu Uhuru, kila kilichokuwepo kilijengwa na Wazungu, hivyo hii SGR ndiyo mradi wa kwanza wa Black Kenya kwa miaka zaidi ya 50!
Kinyume na TZ yetu sisi tumejenga karibia kila kitu wenyewe, hata TAZARA tumejenga baada ya Uhuru achilia mbali miradi mingine mikubwa!
Have you ever been to Tz !!!!!......the changing face of kenyan pubblic hospitals
Quote:
The ongoing renovations at the General Wards and Maternity Wing at the CPGH are progressing well.
We have procured additional modern equipment currently being assembled at the hospital which includes patient beds, specialized orthopedic beds, baby cots, stretchers among others.
We are committed to providing a progressive responsive and sustainable healthcare system for all.
mambo yalivyo hospitali za umma tanzania na miradi yao tangu uhuru!!!
zahanati ya kijijini msambweni lungalunga kwale county mpakani wa kenya na tz!!
zahanati ya tiwi, diani kwale
yourHave you ever been to Tz !!!!!......
Mnastahili pongezi kwa maendeleo yenu lakini ukitaka kuidhalilisha tz vizuri bhasi yakupasa utafute mambo ambayo ni "EXTRA ORDINARY " kwa watz .......
Yaani hayo yote uliyoyaonesha yanaweza kuoneshwa na dodoma na tena chuo cha dodoma pekee "UDOM".....
Can you even imagine that !!!!!!
Wake up bro Tz haipo the same...Tz hakuna publicity za county gava kama za Kenya lakini tunayoyafanya yapo kimya kimya
Lets enjoy what our economies ar able to offer to us ....
Lets look for the opportunities across EAC .......
Sawa Watanzania tuna miradi yetu hatujarithi kwa wakoloni. Lakini mbona pesa ya Kenya ina samani zaidi yetu?
Sifa za kijinga gdp yao iko juuNchi ya Kenya chini ya Waafrika wa Kikenya, haijawahi kujenga mradi mkubwa wowote tangu Uhuru, kila kilichokuwepo kilijengwa na Wazungu, hivyo hii SGR ndiyo mradi wa kwanza wa Black Kenya kwa miaka zaidi ya 50!
Kinyume na TZ yetu sisi tumejenga karibia kila kitu wenyewe, hata TAZARA tumejenga baada ya Uhuru achilia mbali miradi mingine mikubwa!
Sitapoteza muda mwingi kukujibu maana ni kama huwa unavuta mmea fulani, maana hii mada huwa unaibuka nayo kwa mwezi mara moja, mwanzoni tulihangaika kukuelimisha, tukakuletea data nyingi tukitegemea utakua na akili. Lakini baada ya mwezi mmoja unarudia hoja ile ile huku ukitumia kichwa tofauti.
Kifupi ni kwamba nchi yetu ya Kenya tumejijengea wenyewe, tulishaorodhesha humu miradi yote ambayo imekua ikiendelea Kenya. Sina haja ya kuyarudia yote. Lakini miaka ya themanini tulicheleweshwa na chama tawala dhalimu cha wakati ule, kama jinsi Tanzania inacheleweshwa na CCM hadi leo. Tanzania ya leo inayojinadi ya kubana matumizi, mnajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini maeneo ya Chato ambapo hamtegemei mtu yeyote wa kimataifa kutua pale. Bora hata mngeboresha Bukoba iwe ya kimataifa. Mambo kama hayo ndio yalituchelewesha sana kipindi cha uongozi wa chama tawala cha wakati ule.
Lakini punde tu, tulipokibadilisha na kukipiga chini hicho chama, Kenya ilipepea na kuiacha Tanzania kwenye vumbi na lindi la umaskini. Hata Tanzania itawabidi mfikie huo uamuzi, ikiwezekana kwenye uchaguzi wa 2020 hapo ndio mtaona nchi inaanza kupiga hatua za kweli. Lakini kwa sasa mtaendelea kuona vioja na ukurupukaji wa hali ya juu, mara mnahamia Dodoma, mara naona eti Makonda kasema watu wa Mikoani msije Dar bila sababu maalum, mara watu wasiokua na kazi wahesabiwe Dar, mara kushtukiza kule mara hiki, mara kile, yaani hakuna mikakati, hakuna mpango wowote, ni kukurupuka full kwenda mbele.
Mkuu,Hello watu wangu wa tz, hatuwezi jilinganisha na kenya, huo ndo ukweli, hata kama vitu walivonavyo ni Whiteman alianzisha but wenzetu wameweza kuviendeleza, wakati huku kwetu vingi tumeua, kama reli ya dar to arusha, baadhi ya viwanda. Etc, halafu Tazara hatujajenga sie. Ni wachina. Kilimo Tanzania tumekitupa kabisaa ila wenzetu wamekipa kipaumbele kuliko vitu zingine sababu wana viwanda sie ni porojo kila siku. So watz tuache wivu bali tufanye kazi kwa bidii,
Embu angalia uchumi wao!!!? Kenya halafu fananisha na wetu
hehe naongelea kibiashara na jinsi wenzetu serikali yao inavojali wakulima na hata kuwapatia pembejeo bila siasa za uchuro ndani yake, huku kwetu jamaa kazuia mazao kwenda nje , wakulima wananunua pembejeo kwa bei kali sana , halafu unamwambia auze kwa bei ya ajabu, haya basi jenga kiwanda ili kuhifadhi basi mazao yake lakini wapi angalia leo bei ya nyanya sokoni, wenzetu kweli hawana arithi nzuri ya kilimo lakini wanajitahidi sana. embu watanzania tusiongelee hili swala kwa ushabiki , tuweni wakeli wa mambo, ukweli unabakia kuwa pamoja kuwa kenya wako na shida kadhaa ,lakini wanajitahidi kwa kiasi kikubwa sanaMkuu,
Hebu weka justification hapo kwenye kilimo
Ni mwezi tu umekwisha tangu tumewapelekea kenya chakula baada ya ukosefu mkubwa wa chakula nchini mwao .
Au maana yako ilikuwa nini?