Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,898
- 1,505
Mtajuana wenyewe.Wanabodi habari.....
Tumekua tukilalamika sana lakini hatusikilizwi juu ya upataji wa tiket za SGR... mfano mzuri ni lalamiko la Afande na ASKOFU Fulani hivi... toka jana najaribu kukata tiketi toka dom kwenda dar naambiwa tiket hakuna hadi jumatatu lakini kwa wakati huu huu naambiwa niingie mlango wa nyuma nitapata tiketi na kweli nimepata tiketi kwa bei mara mbili ya kawaidaπππ( huo mlango wa nyuma uko rasmi?? Au ni uhujumu?..)
Watu wanaopanda wanakwambia muda mwingi kuna siti zknakuwa wazi mwanzo hadi mwisho wa safari na wakati huo huo wanasema chuma imejaa?? Sasa najiuliza kama abiria wamekua wengi kwa nini wasiongeze idadi ya safari?? Kuna tatizo gani kuwa na treni inayotoka kila baada ya saa 1..?? Mbona nchi za wenzetu ni hivyo.... Tutafika kweli??
Ni shirika lililo chini ya serikali ,serikali inapokaa kimya inamaana imebariki uhujumu uchumi kufanyika .SGR inahujumiwa na wahujumi ni wafanyakazi wa SGR wenyewe
SGR inahujumiwa kivip?
Umeshasema ulipata tiketi kwa mlango wa nyuma kwa bei mara mbili ya kawaida.
Its simple logic hapo kwamba Siyo zote unazoona tupu basi Shirika huwa limeshaziuza kwa hao waliokuuzia wewe bei double.
Nimeleta tayari we mtu pori vipiMwanaetu kwan unaona AIBU kuleta ile picha? πππ Au ulikua unaropoka
Sio kwa sababu ni mwanamke,ni roho mbaya anajulikana kwa utekaji na mauaji ndio sera zake,ataondoka sooner than later ni kibibi kwanzaMumempa nchi mwanamke mnategemea nini
Wanatumwa na wenye mabasi.SGR inahujumiwa na wahujumi ni wafanyakazi wa SGR wenyewe
Wanabodi habari.....