hakuna aliyeitaja tanzania, wacha kujishuku.
this derailment costed the Ethiopian government USD 10 million and closed off the railway line for 4weeks.
Btw hizo embankment na slope gradient hazina tofauti na SGR TZ. pia hawajafence reli kwahivyo treni zinagonga wanyama Mara nyingi sana na kusababisha delays.
View attachment 1187801
Reli inavyofanya kazi Ethiopia imejengwa na mchina, ya yapi merkezi bado inajengwaSo mnaamini TANZANIA tutakuwa kama ETHIOPIA kisa mjenzi wetu ni Yappi?
Yep, kwanza apo kwa umeme.This particular section haija jengwa na yapiSo mnaamini TANZANIA tutakuwa kama ETHIOPIA kisa mjenzi wetu ni Yappi?
Utasubiri sana...shida sio kua na megawatts nyingi...tunakiasi kinachohitajika kuendesha treni za kutumia nishati ya umeme ....mnaumia kwakua mlifail kupanga yenuKama Ethiopia wana inconsistent power supply na Wana almost 6000megawats
basi sgr Tanzania kama kweli ni electric ita stall siku ya kwanza.
true. hizi nchi za ldc ni shida tupuWahabeshi wamesusa,jamaa wanamaisha magumu sana pitia per capita income yao ndio utaelewa
this derailment costed the Ethiopian government USD 10 million and closed off the railway line for 4weeks.
Btw hizo embankment na slope gradient hazina tofauti na SGR TZ. pia hawajafence reli kwahivyo treni zinagonga wanyama Mara nyingi sana na kusababisha delays.
View attachment 1187801
Wacha tungoje tuone.Utasubiri sana...shida sio kua na megawatts nyingi...tunakiasi kinachohitajika kuendesha treni za kutumia nishati ya umeme ....mnaumia kwakua mlifail kupanga yenu