Kwanza fahamu ya kwamba una option mbili,uwende pale pale au ukate mwenyewe kupitia mtandao(www.sgrtiketi.trc.co.tz).
Ingawa for my opinion ni bora ukate kupitia mtamdao ili kuepuka ulaghai na usumbufu uliopo pale station.
Jambo lingine ukikata pale station itakulazimu ufike masaa mawili kabla ya safari😆wakati ukiwa tayr unatiketi unaweza kuingia nusu saa kabla au hata dk kumi kabla ya safari.
Nilikua na safari ya Morogoro ya haraka leo hii, jana saa nne asubuhi tiketi zote online zimeisha mpaka kesho Jumatatu, nadhani Abood angeze tu mabasi.
Nilikua na safari ya Morogoro ya haraka leo hii, jana saa nne asubuhi tiketi zote online zimeisha mpaka kesho Jumatatu, nadhani Abood angeze tu mabasi.
Treni ni usafiri wa haraka na uhakika, ila muda huu huwezi kupata nafasi ila ukienda Magufuli stand unapata gari na uhakika wa safari, ingawa utachelewa lakini utafika siku husika.