Swali langu ni hii, je bado hata hamujamaliza DAR-MOROGORO, na hio ndio sehemu ya kwanza, sasa, je mutamaliza lini toka morogoro-makuputora------makuputora-----tabora--------tabora------isaka------to mwanza---to the mpakani wa rwanda????? ili hii reli ifike mwanza na mpakani mwa rwanda itachukua hadi 2028 au hata 2030, hii umweka hapa si habari hata kidogo, hata hela ya kuaza makuputora hadi mwanza au mpaka wa rwanda HAMUNA HIZO HELA,je si mutafute hela kwanza.