You guys are high on something. Hata 1Km haijajengwa na vile mnapiga kelele humu. Empty debes making noise with zero SGR to show, Kenya and Ethiopia 600+ Km SGR na hatupigi kelele. Nyamazeni kama wenzenu kina Uganda, Rwanda, Burundi na DRC tuwaonyeshe jinsi tulivyo manyanga'u . Kenya ni kama Diamond Musician...kuna wale watatuchukia na wale wanaotupenda, cha msingi ni kupaa kwetu.