With my esteem pleasure n reserved demeanor since many Kenyans have turned to be "doubting Thomases" on Tanzania's capability to undertake the project especially on whether phase I n II of 5 phases are currently U/C, i have chosen to open up this thread to just give you people an insight of what is happening on day and night to make sure the line gets to Mwanza and of course to Isaka, Bujumbura n Kampala.
maximum ni 158km/hr but operating speed inachezea averagely 120km/hr.......sasa nataka kujua hizi kelele zote kutoka kwa watanzania huwa za nini kama train yenyu itafanya max 160km/hr, obvious haiezi operate with max speed

Hata nyinyi wakati inajengwa mliambiwa ita enda kwa 120km/hr right!! na hiyo ni average na ndyo inatambulika rasmi hizo nyingine ni bla bla za Mchina! kwa sababu kuna sehemu speed lazima ipungue, na kuna sehemu inaruhusu top speed, kwa hyo ata hii yetu ambayo ni electric na ita tambaa kwenye continous welded track kuna sehemu ita enda zaidi ya 160 usishangae ikafika 280 si unajua yetu ni modern zaidi
Huyu mwathadan alikuwa anauliza progress ya SGR yetu nimefungua thread anaanza ujinga mwingine kuhusu mwendokasi angoje phase III, IV na V for the shock of his life.
Kweli kulinganisha SGR ya Kenya na Tz ni upumbavu tu. Moja tayari inabeba abiria na mizigo wakati nyingine ipo kwenye vijikaratasi tu na kwenye kichwa cha mfalme
Muda simrefu M7 anaitwa Dar kukubaliana ujenzi wa SGR to Kampala. Yaani Kenya kwa Roho zenu zilivyo mbaya msipo pata Pressure mwaka huu basi hamtaugua tena huo ugonjwa.