Sex education is important to teenagers

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,943
0
Teenagers get the vast majority of their information about sex from their friends. This is likely to be less accurate than information from their mum and dad.

The difficulty parents and children feel when discussing sex is could be part of the problem.

What is required to fill te sex information gap kwa Teneegers wa kizazi cha leo?
Who is required to fill the gap
How can it be done ?

Nawasilisha kwa Mjadala.
 

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,943
0
Binafsi nadhani nilianza kuhoji na kutambua akili ya kuwa mtoto hanunuliwi nikiwa darasa la tatu au la nne . Lakini leo hii kwa movie na kukua kwa teknolojia na vyanzo vya habari children wanapata information nyingi ambazo ni corrupt

How Best and at what age can a parent give his son or doughter a sex education?
 

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,943
0
usemacko ni kweli, maadili ya kidini na family value ni muhimu

Sasa kwa karne ya sasa ambapo information acess iemakuwa rahisi zaidi. kuna internent , marafiki , etc bila wazazi kujaribu kuzungumza hatuoni vijana kupotoka. Si sawa sasa suala la Relationship lianzekufundishwa mashuleni may be darasa la sita. vijana wenyewe si wanapotoshana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom