Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,611
mimi nakwambia dada ndoa kuwa imara sio kwamba vile mtu alikuwa bikra sidhani kama bikra ina impact yoyote kwenye ndoa..siamini....Smile unamaanisha bikira gani ama ipi?
aisee una negativity kubwa sana, but hii naongelea through experience na nimeiona labda nikwambie hivi smile waweza kuamini kwamba kuna mwanamke anaolewa at 27 akiwa bado virgin na hili likaweka alama kwa mumewe mpaka saa wanaish kwa amani na ndoa ina zaid ya mika 10? ubikira ni sign ya kujitunza na kuwa na chastity na hii iko proved hasa ilipolinganishwa na wale ambao hawakua nayo.
kuna watu wanabadilika lakn pia ukweli ni huo kwamba uakibahatika kuolewa bikira ni nzuri anyway haya ya vijana wa kileo ni mageni sana kwangu miye mzee
mtu unaolewa bikra..ni mchoyo,huna ukarimu.una gubu ...mwanaume gani atakaa hapo? but mtu anaweza kuwa amemegwa but ana adabu zake na ndoa yake ikasimamamy sis ...ndoa sio bed nadhani