maalimu shewedy
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 860
- 692
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]It's true mghoshi...
Hayapigi vizinga,hayahitaji huduma ya saluni,sijui outings,sijui kuchangia msiba wa bibi kijijini...
Hapa wanaume mabahili hawapindui..
Kama litatumia umeme Litakufa tuu...Na alifi unakufa unamuacha
Unauliza eti wanawake tuende wapi....??Hapa kuna yaliyofichikana nyuma ya pazia.
Tumesikia takwimu nyingi kuwa idadi ya wanawake duniani ni kubwa kuliko wanaume,labda 1:4.
Halafu wanatengeneza robot wanaume wamalizie kwao matamanio ya kimwili,sisi wanawake tuende wapi kama sio kizazi cha lesbians kinapikwa hapa?
Haya makitu ni mpango maalum.
Nikikumbuka hiyo Pully ya Inzi mdau nacheka ile mbaya ....Teh teh...kulikoni hayo ni bora nifungulie mende...
Au ni test ile pully ya nzi nayo kama ita work effectively kama wale wadau...
Yaani nimepiga picha nikaona ni utaahira fulani.Hahahahahahah lol! atoto akiwa busy na lijisanamu lake wakifanya mapenzi usiku wa manane πππ
Yaani nimepiga picha nikaona ni utaahira fulani.
kwahiyo nako nakaseti kananiamsha usiku kupiga mambo au!!!
Maana ile amshwa amshwa japo ni kausumbufu lkn kana raha yake.
Ni hao ambao ni wachache kwa idadi,na usipende ku generalize mambo.Unauliza eti wanawake tuende wapi....??
Mkifutwa mnalingalinga tuu, wengine humu wanatafuta wachumba masharti kibao.....
Sinakuelewa too..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nkwei osie ambu vikitamu utaita kuubindiiza mwenye....
[emoji3] [emoji3] [emoji3]LOL! Umeona eeh! Kama kuamshwa alfajiri upate morning glory sasa itabidi utegeshe alarm ya kukuamsha ukalibebe lijisanamu lako ili ushughulike nalo πππ kazi kweli kweli!
[emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji3] [emoji3] [emoji85]Sipati picha unalisugua papuchi alafu ina tokea hitilafu linapiga shoti huku kibamia kipo ndan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Sinakuelewa too..
Heheheheee...lugha yako inashabihiana na chasu.
Mlioenda shule tupeni tafsri sisi ngumbalu jamani, inaelekea ni nzuri sana hii.