Sex and marriage with robots

Nadhani Naweza Kuwasabishia Michuko Sana Hao Roboti. Cheki Walivyo Wazuri..!!!
 
Nikajua hilo hilo ndilo linakupa na watoto na kukulelea.
Kulea nadhani litakuwa linajua hivyo natafuta mdada mwenye sura nzuri namjaza baada ya kujifungua anachapa mwendo sitaki headache mm....
 
Mh! Naona hii sayansi itatuharibia maisha kabisa. Itaua uzao
 


Mfuko wako tu, unatengenezewa mtoto wa ndoto zako.
 
Vipi modification itakuwepo..???... mfano kupakua sura mpya kutoka google playstore na sauti pia....si unajua tena mchele mmoja mapishi mbali mbali na siku zote huwezi kula maharage tu...!!

Kama nilivyosema awali, mkwanja wako tu anakuwa customized utakavyo.
 
Haya madoli ya shangilieni usikute yanajinsia mbili
 
Tunakoelekea sio kabisa
 

Attachments

  • 1482416887826.jpg
    47.2 KB · Views: 101
Eti njemba inajifungia na sanamu lake chumbani inafanya mapenzi!!! hahahahahaha labda huko ndiko dunia inakoelekea 40/50 years from now. Njemba ina masanamu yake matano inabadili tu hili sanamu wiki hii sanamu lile wiki inayofuata na lile lingine.....Mhhhhh! Dunia imevaa tambara bovu.

Kwani si linanunuliwa kwa pesa? Na vipi halitohitaji matengenezo!!!

Akuu binadamu mwenzio ana raha yake jamani, kuna vingi vinamiss kwa robort, BAK knows better.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwakweli nikiwaza huo upuuzi hata hauniingii kichwani. Lisanamu sasa hata hisia zinatoka wapi!!!!
 
Reactions: BAK
Na huyo robort asupokufikisha kileleni utapelwka wapi malalamiko
 
Ni mambo ya kushangaza kwa kweli, labda na haya nayo tunaweza kuyaita ni "maendeleo ya mwanadamu"
Duuuuh!!! Kama maendeleo ndio hivi basi kazi ipo.
 
Reactions: BAK
Mlioenda shule tupeni tafsri sisi ngumbalu jamani, inaelekea ni nzuri sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…