Igwamanoni Member Apr 21, 2010 25 0 Nov 11, 2010 #1 Madaktari nisaidieni. Hivi mtoto anapopatwa na severe birth asphyxia anakuwa na nafasi gani ya kukua na kuwa mtu wa kawaida bila madhara yoyote?
Madaktari nisaidieni. Hivi mtoto anapopatwa na severe birth asphyxia anakuwa na nafasi gani ya kukua na kuwa mtu wa kawaida bila madhara yoyote?
Mom JF-Expert Member Oct 13, 2009 708 29 Nov 11, 2010 #2 jaribu kupitia hapo utapata maelezo kidogo. Quality of survival after severe birth asphyxia.