And still die for hunger.
Sawa houseboy wa mzungu.Unasema.... "Die of Hunger".... Ghaaa!
Sawa houseboy wa mzungu.
Game wewe naona kazi yako ni ukuharibu tu nyuzi, na haya mambo yako ya matusi!!! Kenya kulikuwa na njaa na kubali, tena mbaya! Lakini ujue wakenya si wanaujamaa wanaozembea! Saa hizi hivi majuzi tulizindua miradi ya Irrigation to stop hunger once and for all! Project hiyo sahi imetia 15,000 ha of land under irrigation na inatoa mahindi!! Juzi kulipotokea kiangazi hata serikali haijahangaika, ministry of water imewalisha wakenya kutokana na mazao ya huu muradi, mwaka ujao tunaweka 100,000 ha under irrigation.And still die for hunger.
Weeee tanzania mkoa wa mbeya na iringa na morogoro tu inatosha kulisha nchi....swala la chakula apa ndio makao makuu....mikoa yote inalimwa ....tunamazao yaziada mkitaka mseme tuwauzie....Game wewe naona kazi yako ni ukuharibu tu nyuzi, na haya mambo yako ya matusi!!! Kenya kulikuwa na njaa na kubali, tena mbaya! Lakini ujue wakenya si wanaujamaa wanaozembea! Saa hizi hivi majuzi tulizindua miradi ya Irrigation to stop hunger once and for all! Project hiyo sahi imetia 15,000 ha of land under irrigation na inatoa mahindi!! Juzi kulipotokea kiangazi hata serikali haijahangaika, ministry of water imewalisha wakenya kutokana na mazao ya huu muradi, mwaka ujao tunaweka 100,000 ha under irrigation.
Tazam hapa
Galana Kulalu Irrigation Project 2016 100% Mechanized
From here, there are other small irrigation schemes of upto 800ha in Turkana, Pokot, Baringo, Wajir nk
The government plans to expand this schemes even further!
You should believed when i say this is Mandera County irrigation scheme
Game, ile siku mtakuja kuomba chakula huku ntakukumbusha ulivyokuwa ukisema!! Tanzania ndio njaa, sababu hamna mipango hata wewe mwenyewe wajua hivyo!!
By the way Game, Kenya leads in international relief remittance in Africa!!
Weeee tanzania mkoa wa mbeya na iringa na morogoro tu inatosha kulisha nchi....swala la chakula apa ndio makao makuu....mikoa yote inalimwa ....tunamazao yaziada mkitaka mseme tuwauzie....
Mimi sijasema mikoa inayolima! Kama kawaida mahali popote kuna mvua kuna kulima, Ndio maana hujaona nikitaja Central Eastern, Western, Nyanza ama North and Central Rift Valley!! Man Huoni tofauti! Nimetaja, Mandera, Turkana Galana ambazo ni sehemu kama na lazima zifanywe irrigation!Weeee tanzania mkoa wa mbeya na iringa na morogoro tu inatosha kulisha nchi....swala la chakula apa ndio makao makuu....mikoa yote inalimwa ....tunamazao yaziada mkitaka mseme tuwauzie....
Wanjala are you not aware we are feeding u for years, do u?Game wewe naona kazi yako ni ukuharibu tu nyuzi, na haya mambo yako ya matusi!!! Kenya kulikuwa na njaa na kubali, tena mbaya! Lakini ujue wakenya si wanaujamaa wanaozembea! Saa hizi hivi majuzi tulizindua miradi ya Irrigation to stop hunger once and for all! Project hiyo sahi imetia 15,000 ha of land under irrigation na inatoa mahindi!! Juzi kulipotokea kiangazi hata serikali haijahangaika, ministry of water imewalisha wakenya kutokana na mazao ya huu muradi, mwaka ujao tunaweka 100,000 ha under irrigation.
Tazam hapa
Galana Kulalu Irrigation Project 2016 100% Mechanized
From here, there are other small irrigation schemes of upto 800ha in Turkana, Pokot, Baringo, Wajir nk
The government plans to expand this schemes even further!
You should believed when i say this is Mandera County irrigation scheme
Game, ile siku mtakuja kuomba chakula huku ntakukumbusha ulivyokuwa ukisema!! Tanzania ndio njaa, sababu hamna mipango hata wewe mwenyewe wajua hivyo!!
By the way Game, Kenya leads in international relief remittance in Africa!!
Wacha ccm iwakulishe chocha ....they will discover the truth soon enough!!Wewe ukusihiba ubwabwa hapo kitaa cha Dar unasahau ndugu zako huko mikoani wasiokua na bahati. Angalia hii picha hapa chini, Tanzania imeorodhosheshwa duniani kama nchi yenye njaa na kumbuka pia mpo kwenye LDC. Mna kila kitu lakini wazembe wa kutupwa.
Map World Hunger – JAIC'S BLOG