Seven Kenyan coffee factories ranked among world’s best

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,516
47,751
coffee.jpg

A coffee farmer tends her crop. About 85 per cent of Kenya’s coffee is sold overseas through the Nairobi Coffee Exchange. PHOTO | FILE

By JAMES NGUNJIRI, Ngunjirij@ke.nationmedia.com

Posted Sunday, December 11 2016 at 20:31
IN SUMMARY

  • Guama Coffee Factory tops the 2016 list of 30 quality coffee producers with a score of 97 points out of 100, according to the rating by Coffee Review.
  • The report estimates the price of Guama Factory’s coffee at $23.99/12 ounces or $70.5 per kilogramme.
  • Guama coffee emerged top because the sample consisted entirely of pea berries.

Seven Kenyan factories have been ranked among the world’s best specialty coffee producers, putting the farmers on the path to better earnings for their produce in the international market.

Seven Kenyan coffee factories ranked among world’s best
 
In Kenya beer is mostly used despite they are the big producer of coffee...
Take it from me!!
 
And still die for hunger.
Game wewe naona kazi yako ni ukuharibu tu nyuzi, na haya mambo yako ya matusi!!! Kenya kulikuwa na njaa na kubali, tena mbaya! Lakini ujue wakenya si wanaujamaa wanaozembea! Saa hizi hivi majuzi tulizindua miradi ya Irrigation to stop hunger once and for all! Project hiyo sahi imetia 15,000 ha of land under irrigation na inatoa mahindi!! Juzi kulipotokea kiangazi hata serikali haijahangaika, ministry of water imewalisha wakenya kutokana na mazao ya huu muradi, mwaka ujao tunaweka 100,000 ha under irrigation.

Tazam hapa
Galana Kulalu Irrigation Project 2016 100% Mechanized
Galana-edited.jpg

CnO_fgiWIAAy5Jm.jpg

images

images

From here, there are other small irrigation schemes of upto 800ha in Turkana, Pokot, Baringo, Wajir nk
The government plans to expand this schemes even further!
962879.png

febmarch-8_3.jpg

You should believed when i say this is Mandera County irrigation scheme

8ZZPOLS.jpg

P0opSTk.jpg

Game, ile siku mtakuja kuomba chakula huku ntakukumbusha ulivyokuwa ukisema!! Tanzania ndio njaa, sababu hamna mipango hata wewe mwenyewe wajua hivyo!!

By the way Game, Kenya leads in international relief remittance in Africa!!
 
Weeee tanzania mkoa wa mbeya na iringa na morogoro tu inatosha kulisha nchi....swala la chakula apa ndio makao makuu....mikoa yote inalimwa ....tunamazao yaziada mkitaka mseme tuwauzie....
 
Wewe ukusihiba ubwabwa hapo kitaa cha Dar unasahau ndugu zako huko mikoani wasiokua na bahati. Angalia hii picha hapa chini, Tanzania imeorodhosheshwa duniani kama nchi yenye njaa na kumbuka pia mpo kwenye LDC. Mna kila kitu lakini wazembe wa kutupwa.
Map World Hunger – JAIC'S BLOG

4629131_orig.png
 
Weeee tanzania mkoa wa mbeya na iringa na morogoro tu inatosha kulisha nchi....swala la chakula apa ndio makao makuu....mikoa yote inalimwa ....tunamazao yaziada mkitaka mseme tuwauzie....
Mimi sijasema mikoa inayolima! Kama kawaida mahali popote kuna mvua kuna kulima, Ndio maana hujaona nikitaja Central Eastern, Western, Nyanza ama North and Central Rift Valley!! Man Huoni tofauti! Nimetaja, Mandera, Turkana Galana ambazo ni sehemu kama na lazima zifanywe irrigation!
 
Game wewe naona kazi yako ni ukuharibu tu nyuzi, na haya mambo yako ya matusi!!! Kenya kulikuwa na njaa na kubali, tena mbaya! Lakini ujue wakenya si wanaujamaa wanaozembea! Saa hizi hivi majuzi tulizindua miradi ya Irrigation to stop hunger once and for all! Project hiyo sahi imetia 15,000 ha of land under irrigation na inatoa mahindi!! Juzi kulipotokea kiangazi hata serikali haijahangaika, ministry of water imewalisha wakenya kutokana na mazao ya huu muradi, mwaka ujao tunaweka 100,000 ha under irrigation.

Tazam hapa
Galana Kulalu Irrigation Project 2016 100% Mechanized
Galana-edited.jpg

CnO_fgiWIAAy5Jm.jpg

images

images

From here, there are other small irrigation schemes of upto 800ha in Turkana, Pokot, Baringo, Wajir nk
The government plans to expand this schemes even further!
962879.png

febmarch-8_3.jpg

You should believed when i say this is Mandera County irrigation scheme

8ZZPOLS.jpg

P0opSTk.jpg

Game, ile siku mtakuja kuomba chakula huku ntakukumbusha ulivyokuwa ukisema!! Tanzania ndio njaa, sababu hamna mipango hata wewe mwenyewe wajua hivyo!!

By the way Game, Kenya leads in international relief remittance in Africa!!
Wanjala are you not aware we are feeding u for years, do u?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom