mwanzo nlikuwa na mawazo hayo baadae nikagundua kuwa kwa kuwa mitandao mingine unakuwa na offer za fb na wasup buree ndo maana ukitumia halotel inakwenda, kimsingi mb 500 zikizidi sana kama una download mfail na mambo mengine only a day o 2dayz, kwisha,
so ukiwa na tigo u can extend time kwa kuwa unapata free chatting, ila kwa speed ya net halo wako vzr,..