Ni sawa, ila aliye baridi na aliye moto wote ni kama njia zao zinaendana hivi kuliko yule ambae hayupo kwenye pande hizo mbili.Sio lazima iwe infinity loop. Hata mimi nilikuwa mbishi huko nyuma. Nilifanya ubishi tu lakini ndani ya moyo nauona ukweli. Baadaye niliikata hiyo loop ya ubishi nikakubali kuokoka. In addition, hawa atheists tunawapa habari njema kama Yesu alivyotuagiza; siku ile ya mwisho ikifika hawatakuwa na udhuru. Hawatasema: "hatukuambiwa, hatukujua."
Ukweli wa jambo haupimwi kwa idadi ya kurasa, bali kwa uthabiti wa hoja na ushahidi wake.Je kuna aliyebisha hayo ? Tofauti ni kwamba Imani haiitaji uthibitisho hata bila Imani watu wataamini, tofauti na facts ambazo hata zisipokuwa proven bado ni facts ili kuweza kuthibitisha kwamba ni facts (ni kama sentensi inavyosema kuthibitisha which means they must be proven
Hata Ngw'anamalundi pia ni historical figure katika baadhi ya sehemu ukizingatia historia ya zamani ilikuwa inarithishwa kwa hadithi na nyimbo; na vilevile uwepo wa mtu haimaanishi kila alichofanya ni kweli alifanya kuna exaggarations (mfano tuchukulie Nyerere tu kuna watu walikuwa wanaamini ana nguvu za kichawi na kuna siku alisahau fimbo yake mtu akataka kuichukua ampelekee akashindwa kuibeba), Kuna watu leo wanamchafua kwamba ndio chanzo cha umasikini wetu yote hayo yapo historically kwenye maneno ya watu na kama mmoja wetu angeyaandika yangeweze kuwa ni ukweli...; Kuna watu wanasema Newton aliona Apple inaanguka ndio akawaza kuhusu gravity, kuna wengine wanasema hio ilikuja tu baadae ili kufanya story hii ionekane tamu zaidi...
Na uki base history kwenye Imani yako nadhani ni kufeli hata kabla haujaanza sababu historia haikubaliana kabisa na chanzo ambacho huyu Yesu alikuwa ndio anachotuelezea kwamba ndio chanzo....
Hata kama haiendani kabisa na tunachodhani ndio ukweli haimaanishi kwamba sio kweli wala wewe kuamini haiitaji kuwa proven at all wala kuendena na wengine wanachoamini..., vilevile unasahau kwamba hata historia inaweza ikawa ni distorted hususan kama historia hiyo ipo based kwenye maandiko ya victors...
Hapana ila kwa busara zaidi ni kutafuta na kutumia avenues zote kutafuta ukweli huo.., na ni kosa kubwa sana kuanza na jibu ndio uanze kuthibitisha ukweli badala ya kuanza na blank slate na facts / evidences ndio zikupeleke kwenye ukweli na ukifika sehemu ambapo utagundua umepotea njia utakuwa radhi na furaha kwamba nimegundua hili sio kweli badala ya kutafuta njia ya kuhalilisha uongo sababu tu uendane and what you thought was right....
Nani kasema haina nafasi (even a broken clock is sometimes right) ila nachosema hauhitaji proof ili kuamini / imani ni wewe tu uamuzi wako na ku train akili yako (mind over matter) kuna watu huwa wanatembea kwenye kokoto za moto kwa kulazimisha akili zao kwamba hizo kokoto ni za baridi....
Sasa kwanini utumie darubini (kuangalia vitu vidogo) wakati jambo linaweza kuonekana kwa deeds (matokeo)? Utaona vipi kwamba kumdhuru mwenzako ni sawa ikiwa wewe hautaki akudhuru (ingawa kuna kipindi ilikuwa ni sawa sababu watu wali justify kufanya mabaya kwa kusema kwamba kuna matabaka na watu wote sio sawa) kuna the chosen ones (mfano wana wa Israel) kwahio hao ni sawa kuwaumiza wengine wasio chosen..., Lakini Civilisation has taught us otherwise... (we continously learn and evolve)
Sijapinga Imani (on the contrary) nimesema to each their own.., wewe amini unachoamini ila tusijebadilisha teachings / education ambazo zinatoa wigo wa inquisitive minds ya watu kuhoji bila kuambiwa wanakufuru kwa kuleta indoctrination ambazo majibu yote yapo kwenye kitabu chenye kurasa 1.200 mpaka 1,500
String theory it is based on a vibrating stringsstring theory as it is depicted sio kwamba ipo kwamba kuna strings ila ili uweze kufanya hesabu fulani lazima ufanye hivyo.., ni kama tunavyoassume kwenye Physics kwamba a gas is ideal (but a gas does not behaev ideal)
And By nothingness you mean the bing bang orNdio maana nikasema I would rather have a debate about nothingness (and does nothingness really exists
They are not there its just an assumption to make mathematics / explanation easierString theory it is based on a vibrating strings
By nothingness I literally mean nothing in as much as you have space can you have nothing ? Yaani leo hii ukichukua chupa na ukatoa kila kitu unachokiona kwa macho yako ukirudi baada ya siku if there are favorable conditions unakuta life (iwe ni mold au fungus) kwahio narudia hata kutokuwepo kwa kitu unachodhani hakipo does not mean hakipo to put it bluntly.....And By nothingness you mean the bing bang or
So scientist can just assume there is a vibrating strings in the universe and be accepted but they completely reject the assumption that there is a higher power that created the universe.They are not there its just an assumption to make mathematics / explanation easier
Ngoja nikwambia kwanini tuna assume mfano wakati tunafanya hesabu ambazo zina involve gas; tuna assume kwamba gas ni ideal An ideal gas is a theoretical gas composed of many randomly moving point particles that are not subject to interparticle interactions. The ideal gas concept is useful because it obeys the ideal gas law, a simplified equation of state, and is amenable to analysis under statistical mechanics.So scientist can just assume there is a vibrating strings in the universe and be accepted but they completely reject the assumption that there is a higher power that created the universe.
We are here as a test as to who among us is better and those who are better are awarded and those who are not are being punished because of bad and evil things they didcreates miniature versions of himself to torture eternally
So people can know who to turn for help and not be lostSo lonely that he wants to be constantly reminded he exists
An enternal life with the most human need like Health, Wealth, eternity, freedom and love that's what people desireWould he be so primitive to think that an eternal life would be fulfilling
All of this doesn't make sense.We are here as a test as to who among us is better and those who are better are awarded and those who are not are being punished because of bad and evil things they did
So people can know who to turn for help and not be lost
An enternal life with the most human need like Health, Wealth, eternity, freedom and love that's what people desire
Just like having faith utafika salama kutoka dar kwenda dodoma kama usipopata ajali au kupata dhoruba ya natural cause, because faith and assumption havina utofauti sana sababu vyote vinasuhisha ku believe something without complete proofMfano nikitaka kupima muda utakaotumia kutoka Dar mpaka Dodoma nita assume kwamba safari yako itakwenda vizuri na hakutakuwa na ajali sababu nikichukua all happenstances into consideration I can never arrive at any answer any time soon
Una assume kwamba mvua haitanyesha ili upange kwamba mahindi yatachukua muda gani kukauka sio Unaamini kwamba mvua ni bomba la maji lilipo huko juu kwahio ukipiga magoti itanyesha na usipopiga haitanyesha na sababu haijanyesha ni sababu haukuomba na sio kwamba ni kipindi cha kiangazi..Just like having faith utafika salama kutoka dar kwenda dodoma kama usipopata ajali au kupata dhoruba ya natural cause, because faith and assumption havina utofauti sana sababu vyote vinasuhisha ku believe something without complete proof
It brings a sense of worth, value or satisfaction when you get it after along waitWhy can't heaven be on earth? Why do we have to wait, to suffer for it?"
๐๐๐ hizo ndo nlikuwa nakutegemea zaidi...sa itakuwaje!!!Kasoro zile zenye vocabulary nzito, hizo zimenishinda ๐๐๐
So what is the purpose of living as na atheist you can be serial killer and die peacefully in your bed without worrying anything to be accountable forUna assume kwamba mvua haitanyesha ili upange kwamba mahindi yatachukua muda gani kukauka sio Unaamini kwamba mvua ni bomba la maji lilipo huko juu kwahio ukipiga magoti itanyesha na usipopiga haitanyesha na sababu haijanyesha ni sababu haukuomba na sio kwamba ni kipindi cha kiangazi..
The two are quite different one is a means to get an accurate answer in calculations so as to help you in your doings and the other has no limit..., you can believe anything you want no matter how absurd...
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐Ngoja Infropreneur aje kupinga
Hii english hapana๐
una reply kwa maneno yake mwenyewe aliyoandika tena unachukua randomly๐๐๐ unaacha naye ahangaike kuelewa aone kama ni raha๐๐๐ hizo ndo nlikuwa nakutegemea zaidi...sa itakuwaje!!!
Ngoja aje kutuelezsWewe dada mwenye degree mbili mbona hiki Kiingereza chako ni kigumuโ๏ธ๐ ๐