Sasa hii huoni kama inakua infinity loop kwa maana mtu asiyeamini huwa haamini hata yaliyo ndani ya vitabu, kwahiyo mabishano yenu yote yatastack hapo kwa maana mtabishana weee, then mtarudishana na kuendelea kubishana over and over again.Swali zuri sana. Katika nyanja yoyote ya elimu, majibu hupatikana kwenye vyanzo vinavyohusiana nayo. Ukimuuliza mwanasayansi kuhusu fizikia, atarejea vitabu vya sayansi; ukimuuliza mwanasheria swali, atakutajia katiba na sheria. Vivyo hivyo, masuala ya kiimani yanajibiwa kwa vyanzo vya kiimani. Ndiyo sababu mimi majibu yangu mengi nafanya reference kwenye Biblia.
Sio imani am of the knowledge of the available theories and with their pros and cons and the pursuit is not over still learning day by day... na mpaka sasa kuna Known Knowns, Known Unknowns and Unknown Knowns... The pursuit continues.., Sina jibu ili nijaribu kutafuta ukweli kwahio from theories will come a definite Answer kutokana na kinachofahamika...Kwa hyo wewe una imani gani, how did life begin on earth
Unasema Biblia ni kama riwaya tu kwa wengine, lakini swali ni hili: Je, ukweli wa kitabu fulani unategemea mtazamo wa mtu, au unategemea kile kilichomo ndani yake? Historia inaonyesha kuwa Biblia imekuwa chanzo cha sheria, maadili, na hata sayansi ya mwanzo. Ikiwa tunakataa chanzo cha maarifa kwa sababu tu watu wengine hawakubaliani nacho, basi tunapaswa pia kukataa vitabu vya sayansi, kwa sababu sio kila mtu anakubali nadharia zote za kisayansi.Tofauti na Sayansi huku ni fluidity watu wanabadilika hawapo chained.., I might say they are Free Mentally without chains...
Ukizingatia hicho kitabu chako wewe kwa mwingine ni Novel (sio kwamba ni universally accepted) it's mere existence is arguably invalid...
Sio kwamba nasema nadhani hili lipo wazi ndio maana kuna wewe unayeamini Bible, kuna wengine wanakubishia wapo hapa na wengine wana Quran n.k. kuna mpaka kina Mormons wana Latest Testament.. (Kwahio sio kwamba nasema that is a fact)Unasema Biblia ni kama riwaya tu kwa wengine,
Sasa kama kilichomo ndani wengine wanakitafisiri kama Riwaya basi wengine wanasoma ili kuburudika.., pia sio kweli kwamba kila kilichomo kitakuwa ni Uongo (even a broken clock is sometimes right).., Sasa kama kuna kitu ambacho tunaamini kimetoka sehemu tukufu isiyokosea na haiwezi kukosea na ndio alfa na omega ni kwamba hata kosa moja tu.., will deem the whole thing not as true as we might have first envision...lakini swali ni hili: Je, ukweli wa kitabu fulani unategemea mtazamo wa mtu, au unategemea kile kilichomo ndani yake?
And vice versa is true sababu Biblia ilikuja baada ya civilization (as we know it ni kwamba imetoa pia vitu huku na kule); mfano mafunzo na imani nyingi za Hindus / Wahindi zipo pia kwenye Bible Kwahio kwa one of oldest books in history lazima kilichomo kina akisi dunia ilivyo wakati huo.., ndio maana mfano ingeandikwa leo badala ya kuongelea punda tungekuwa tunaongelea ma V8 na badala ya kuongelea Utumwa na vijakazi hilo lisingekuwepo na mfumo dume ungekuwa umepunguzwa sio kama kipindi kileHistoria inaonyesha kuwa Biblia imekuwa chanzo cha sheria, maadili, na hata sayansi ya mwanzo.
Hatupaswi kukubaliana na chochote kile will nilly tunapaswa kupinga kila kitu mpaka pale tutakapopata proof na kitu kuwa fact (what is known to be true) na ndio itumike kama template ya Elimu; Hayo mengine hatuwezi kukataza (itakuwa ni dictatorship) hayo kila mtu na kwa Imani yake na aendelee kama anavyopenda (after all tutachukua Imani ipi na tuache ipi)?Ikiwa tunakataa chanzo cha maarifa kwa sababu tu watu wengine hawakubaliani nacho, basi tunapaswa pia kukataa vitabu vya sayansi, kwa sababu sio kila mtu anakubali nadharia zote za kisayansi.
Do you believe in string theorySio kwamba nasema nadhani hili lipo wazi ndio maana kuna wewe unayeamini Bible, kuna wengine wanakubishia wapo hapa na wengine wana Quran n.k. kuna mpaka kina Mormons wana Latest Testament.. (Kwahio sio kwamba nasema that is a fact)
Sasa kama kilichomo ndani wengine wanakitafisiri kama Riwaya basi wengine wanasoma ili kuburudika.., pia sio kweli kwamba kila kilichomo kitakuwa ni Uongo (even a broken clock is sometimes right).., Sasa kama kuna kitu ambacho tunaamini kimetoka sehemu tukufu isiyokosea na haiwezi kukosea na ndio alfa na omega ni kwamba hata kosa moja tu.., will deem the whole thing not as true as we might have first envision...
And vice versa is true sababu Biblia ilikuja baada ya civilization (as we know it ni kwamba imetoa pia vitu huku na kule); mfano mafunzo na imani nyingi za Hindus / Wahindi zipo pia kwenye Bible Kwahio kwa one of oldest books in history lazima kilichomo kina akisi dunia ilivyo wakati huo.., ndio maana mfano ingeandikwa leo badala ya kuongelea punda tungekuwa tunaongelea ma V8 na badala ya kuongelea Utumwa na vijakazi hilo lisingekuwepo na mfumo dume ungekuwa umepunguzwa sio kama kipindi kile
Hatupaswi kukubaliana na chochote kile will nilly tunapaswa kupinga kila kitu mpaka pale tutakapopata proof na kitu kuwa fact (what is know to be true) na ndio itumike kama template ua Elimu; Hayo mengine hatuwezi kukataza (itakuwa ni dictatorship) hayo kila mtu na kwa Imani yake na aendelee kama anavyopenda (after all tutachukua Imani ipi na tuache ipi)?
What is Believe and what is Theory...Do you believe in string theory
Okay let's say you are right by saying the universe does not necessitate an intelligent designer, can you please reply to below questions and enlighten our mind we believer of the Intelligent designs?The complexity of the universe does not necessitate an intelligent designer. Rather, natural laws and evolutionary processes sufficiently explain cosmic and biological intricacies without invoking supernatural causation.
DNA, the vastness of space, and human cognition arise through observable, naturalistic mechanisms, not divine intervention.
1. Tofauti kati ya imani na ukweli wa kihistoriaThat is what I said from the get go... to each their own.., ila unapotaka kufanya imani / faith kwamba ni facts au ni sayansi, sisi wadau wa pursuit of knowledge lazima tujaribu kuweka mambo sawa kidogo (yaani kusukuma Imani where it belongs)
1. On Jesus’ Divinity and ResurrectionThe claims of Jesus Christ’s divinity and resurrection lack empirical verification, relying on theological assertion rather than historical certainty, making belief in them a leap of faith rather than a rational conclusion.
The complexity of the universe does not necessitate an intelligent designer. Rather, natural laws and evolutionary processes sufficiently explain cosmic and biological intricacies without invoking supernatural causation.
DNA, the vastness of space, and human cognition arise through observable, naturalistic mechanisms, not divine intervention.
Je kuna aliyebisha hayo ? Tofauti ni kwamba Imani haiitaji uthibitisho hata bila Imani watu wataamini, tofauti na facts ambazo hata zisipokuwa proven bado ni facts ili kuweza kuthibitisha kwamba ni facts (ni kama sentensi inavyosema kuthibitisha which means they must be proven1. Tofauti kati ya imani na ukweli wa kihistoria
Kuna tofauti kati ya kusema ‘imani yangu ni kweli kwa sababu naamini’ na kusema ‘imani yangu ina msingi wa ukweli unaoweza kuthibitishwa.’ Siyo kila jambo la kiimani ni la kubuniwa tu au la kufikirika bila ushahidi wowote.
Hata Ngw'anamalundi pia ni historical figure katika baadhi ya sehemu ukizingatia historia ya zamani ilikuwa inarithishwa kwa hadithi na nyimbo; na vilevile uwepo wa mtu haimaanishi kila alichofanya ni kweli alifanya kuna exaggarations (mfano tuchukulie Nyerere tu kuna watu walikuwa wanaamini ana nguvu za kichawi na kuna siku alisahau fimbo yake mtu akataka kuichukua ampelekee akashindwa kuibeba), Kuna watu leo wanamchafua kwamba ndio chanzo cha umasikini wetu yote hayo yapo historically kwenye maneno ya watu na kama mmoja wetu angeyaandika yangeweze kuwa ni ukweli...; Kuna watu wanasema Newton aliona Apple inaanguka ndio akawaza kuhusu gravity, kuna wengine wanasema hio ilikuja tu baadae ili kufanya story hii ionekane tamu zaidi...Mfano mzuri ni Yesu Kristo: Ukisema ‘Yesu alikuwepo kihistoria,’ hilo si suala la imani pekee, bali ni suala la historia. Kuna vyanzo vya kihistoria vilivyoandikwa na watu waliokuwa hata si Wakristo (kama Josephus na Tacitus) ambavyo vinathibitisha kuwa Yesu alikuwepo duniani na alikuwa mtu halisi.
Hata kama haiendani kabisa na tunachodhani ndio ukweli haimaanishi kwamba sio kweli wala wewe kuamini haiitaji kuwa proven at all wala kuendena na wengine wanachoamini..., vilevile unasahau kwamba hata historia inaweza ikawa ni distorted hususan kama historia hiyo ipo based kwenye maandiko ya victors...Hii inamaanisha kuwa si kila kitu cha imani ni kinyume na ‘facts.’ Swali la kujiuliza ni je, imani hiyo inalingana na ushahidi wa kihistoria au la?
Hapana ila kwa busara zaidi ni kutafuta na kutumia avenues zote kutafuta ukweli huo.., na ni kosa kubwa sana kuanza na jibu ndio uanze kuthibitisha ukweli badala ya kuanza na blank slate na facts / evidences ndio zikupeleke kwenye ukweli na ukifika sehemu ambapo utagundua umepotea njia utakuwa radhi na furaha kwamba nimegundua hili sio kweli badala ya kutafuta njia ya kuhalilisha uongo sababu tu uendane and what you thought was right....2. Je, ukweli unategemea njia moja tu kuujua?
Swali la msingi hapa ni hili: Je, kila kitu lazima kipimwe kisayansi ili kiwe fact? Kuna njia nyingi za kujua ukweli. Sayansi hutumia majaribio na vipimo. Historia hutumia ushahidi wa maandishi na masalia. Sheria hutumia ushahidi wa mashahidi na mantiki ya kisheria.
Nani kasema haina nafasi (even a broken clock is sometimes right) ila nachosema hauhitaji proof ili kuamini / imani ni wewe tu uamuzi wako na ku train akili yako (mind over matter) kuna watu huwa wanatembea kwenye kokoto za moto kwa kulazimisha akili zao kwamba hizo kokoto ni za baridi....Tunaposema kuwa imani haina nafasi katika ukweli, je, tunamaanisha kwamba njia zote hizi za kujua ukweli hazina maana? Swali zuri ni je, imani inalingana na ukweli huo au la? Ikiwa inalingana, basi tunaitambua kuwa ni sehemu ya ukweli.
Sasa kwanini utumie darubini (kuangalia vitu vidogo) wakati jambo linaweza kuonekana kwa deeds (matokeo)? Utaona vipi kwamba kumdhuru mwenzako ni sawa ikiwa wewe hautaki akudhuru (ingawa kuna kipindi ilikuwa ni sawa sababu watu wali justify kufanya mabaya kwa kusema kwamba kuna matabaka na watu wote sio sawa) kuna the chosen ones (mfano wana wa Israel) kwahio hao ni sawa kuwaumiza wengine wasio chosen..., Lakini Civilisation has taught us otherwise... (we continously learn and evolve)3. Je, sayansi inaweza kuthibitisha kila kitu?
Kuna mambo mengi muhimu tunayoyakubali kuwa ni ya kweli hata kama hayathibitishwi kisayansi. Mfano, tunakubali kwamba maadili yapo—kuwa ni vibaya kumdhuru mtu asiye na hatia—lakini huwezi kupima jambo hilo kwa darubini.
Sijapinga Imani (on the contrary) nimesema to each their own.., wewe amini unachoamini ila tusijebadilisha teachings / education ambazo zinatoa wigo wa inquisitive minds ya watu kuhoji bila kuambiwa wanakufuru kwa kuleta indoctrination ambazo majibu yote yapo kwenye kitabu chenye kurasa 1.200 mpaka 1,500Kwahiyo, mkuu, usiipinge imani eti kwakuwa haiwezi kuwekwa kwenye majaribio ya kimaabara. Kama tunaikubali historia, falsafa, na sheria kama vyanzo vya ukweli, basi ni busara pia kuchunguza kama imani fulani ina msingi halali wa ukweli kupitia vyanzo hivyo. Are you there!!
Well some scientist do not believe in string theory, sababu haiwezi kufanyika experiment ili u apply string theory inabidi huongeze another spatial dimension which as far as we know their are only three spatial dimension and one dimension of time, there is know single formula of string theory, kama ni hivyo basi scientist kuna muda wanasema vitu bila kuwa na exact proof ya kuwepo, then how can they know for sure God doesn't existWhat is Believe and what is Theory...
Believe in Kuamini sidhani kama hapa kwenye muktadha huu wa string theory ni neno sahihi, labda ungesema umeshasikia au kufuatilia String Theory ? Na Theory ni nini ?
An idea used to account for a situation or justify a course of action. Theory inaweza ikawa njia ya kurahisisha mambo au kuweza ku grasp kitu na kukielewa vizuri, kwahio tukija kwenye string takujibu kwamba nimeshaisikia nimeshaisoma its an interesting phenomena na its useful as to go deeply about it siwezi sababu I have neither the time nor the urge to pursue it, am sure nikifuatilia deeply kuna aspects nitakubaliana nazo na kuna aspects ambazo zitachukua muda wangu ku dig deeply na huenda mwisho wa siku nikaboresha au kupinga things which were believed to be accurate but found out not to be....
Theory zinasaidia kuweka ku grasp idea fulani string theory as it is depicted sio kwamba ipo kwamba kuna strings ila ili uweze kufanya hesabu fulani lazima ufanye hivyo.., ni kama tunavyoassume kwenye Physics kwamba a gas is ideal (but a gas does not behaev ideal)Well some scientist do not believe in string theory, sababu haiwezi kufanyika experiment ili u apply string theory inabidi huongeze another spatial dimension which as far as we know their are only three spatial dimension and one dimension of time, there is know single formula of string theory,
Tukianza kila tukipata changamoto basi tunachukua shortcut kwanini tuishie kwenye Mungu pekee ?, Tukipata magonjwa tushukuru kwamba Mungu ameamua.., likija jambazi likapiga hodi tulikaribishe sababu Mungu ameridhia..kama ni hivyo basi scientist kuna muda wanasema vitu bila kuwa na exact proof ya kuwepo, then how can they know for sure God doesn't exist
1. Kigezo cha "Kufeki"Kama kweli kilitokea unachosema kilitokea na sio wadau kupeana stori za gahawa za enzi hizo (unataka kusema walikuwa hawawezi ku fake harufu au ku swap maiti na huyo Lazaro ambayo alikuwa sehemu amejibanza / jificha ?
Sio lazima iwe infinity loop. Hata mimi nilikuwa mbishi huko nyuma. Nilifanya ubishi tu lakini ndani ya moyo nauona ukweli. Baadaye niliikata hiyo loop ya ubishi nikakubali kuokoka. In addition, hawa atheists tunawapa habari njema kama Yesu alivyotuagiza; siku ile ya mwisho ikifika hawatakuwa na udhuru. Hawatasema: "hatukuambiwa, hatukujua."Sasa hii huoni kama inakua infinity loop