Server ni mdudu gani

kwa nini usijitolee kufundisha maana una juhudi sana. Hongera!

Aksante mkuu trough kufudisha na mie pia ninaelimika si unaona ile LDAP. Sababu nikichemsha hapa najua mwenye uelewa atanimbia hapana hiyo sio hivyo ni hivi na hivi.

Otherwise ndio haya matumizi ya faida ya internet kufidishana inawezakana kwa "virrtual class" mwalimu yuko kahama mwanfunzi yuko Dar teh teh teh
 
Mtazamaji nashukuru kwa darasa la nguvu!! Ki-ukweli nimejifunza mengi katika post yako.nimeweza kuona server,database,backup nk.wakati naendele nimeona nibaki katika somo moja S erver nakwakuwa kuna server nyingi mail server,print server,webserver nk mimi naona nibaki na somo la WEBSERVER kwanza.pengine webserver ni tool/softwr muhimu katika uhifadhi wa mambo yanayohusu www.kama tulivyojifunza hapo juu.
 
.... Kutokana na hayo hapo juu napenda niulize hatua muhimu za ujenzi wa website. Kati ya server na makorokoro yoote yanayo kamilisha site nini cha kuanzia hatua kwa hatua.au baada ya kupata sever nini kinachofuatia cpanel au?
 
<br />
<br />
Thanx
 

Somo la webserver litachanganywa na somo la databaseserver wa kiaisi fulani Sababu webserver nyingi za kisasa data zake zinakaa kwenye database server. Mfano hizi post na comment tunazoona hapa jamii forums, au kwenye blogger data zake zinehifadhiwa kwenye database. kwa hiyo ingawa lengo kuu ni kujua mambo ya webserver itabidi kidogo mwazoni kugusia na kuelezana database server........ Lakini kama nia ni kutengeneza ka-website kadogo ambako haiiitaji mtu kutoa comment au kulogin au habari zake hazitaji kubadilishwa kila siku then tunaweza kuendelea na webserver bila kuhitaji database.

.... Kutokana na hayo hapo juu napenda niulize hatua muhimu za ujenzi wa website. Kati ya server na makorokoro yoote yanayo kamilisha site nini cha kuanzia hatua kwa hatua.au baada ya kupata sever nini kinachofuatia cpanel au?

OK nawza nisufuate mtiririko wa kishule shule lakini hatua muhimu zinatagema mamb mengi kwa hiyo tutafanya assumpetions ili Somo lisiwe refu na kuchosha sana
  • Kama una webserver na database server yako hapo ulipo nyenzo utakazo hitaji ni tofauti na yule mwenye websever iliyo mbali na alipo eg marekani au UK au UCC. Kwa case yetu webserver na database ziko mbali kwa hiyo moja ya nyezo muhimu tutakayohitaji ni FTP - Hii itasadia k uyarusha mafile kwenye websever na kuyachukua kuyarudish akwenye cmputer yako hapo kwako pale utakapohitaji kufanya marekebisho kwenye code fulani fulani. Kuna FTP solution kibao lakini ninayotumia binafsi ni FILEZILLA


  • Kuhusu CPANEL ( Control panel) Hao jamaa wa X10 hosting amabo ndio umewachagua kuhost webserver na database seerve yako freee watakuwa wamekutumia details za jinsi ya kuingia kwenye Control panel ya Webserver yako.
kuna username na password amabazo ukiingiza kwenye link ya CPANEl basi unapata ukurasa ambao una detail kibao na za muhimu kuhusu webseever yako na Database na FTP . Hii CPANEL ni nyenzo muhimu sana itakusaidia kuratibu na kumanage webserver na Databaser server yako. . Sasa sijui link waliyokupa kuingia kwenye webserver yako ni ipi kama ni hii https://starka.x10hosting.com:2083 jaribu kuingiza user name na password yako uone kama utaingia. Kama wamekupa nyingine tumia hiyo kuingiza sussername na psd.

Then baada ya hapo tunaweza kujaribu kuweka ka-ukurasa simple tu kwenye tovuti yako then kuendelea na somo kwa undani zaidi. Maana mpaka sasa tovuti yako inaonekana hivi Welcome to x10Hosting!. Hii ni kwa sbabau kwenye websever yako hakuna file zozozte ulizweka .
 
ok mkubwa mpaka sasa nimefika hapa
.
na hapa

nadhani hapa ndo tunaweza kuendelea.



Client Account Information account .............
contact email .............................................
support requests ....................................
email history ......................................

Forum Account active username ..............

Free Hosting active username fishers ..
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…