Pamoja
na elimu yako ya chuo, nenda kwanza tuition ya English halafu uje
urekebishe title yako.
Inategemea chuo gani? Kama cha udereva au kufyatua tofali kingereza ni
subsidiary so huwezi shangaa
dah jf never die no stress raha tupuuuu
just another
disaster..........."seriousness women is needed"
graduate? its true nobody is perfect.
Ok, kwa hiyo unamaanisha kabla ya mwalimu kuitwa hayati? hapo nimekupata....Hata mimi ndicho nnachozungumzia simaanishi enzi za mwalimu kwa maana kwenye utawala wa mwalimu
Habari Wakuu Wa Jf,Heri Ya Mwaka Mpya! Nimara Yangu Ya Kwanza Kujitokeza Jf. Jinsia Yangu Ni Mwanaume Natangaza Nia Ya Kutafta Mke Wakuoa Mwenye Vigezo Vifuatavo Mweupe,mcha Mungu,mrefu Na Mnene Kiasi,mcheshi,mvumilivu,mwaminifu,umri Kuanzia 22-31yrs,asiwe Mlevi,elimu KidatoIv-chuo Kikuu,kabila Na Dini Yoyote.Mimi Ni Mwajiriwa Elimu Yangu Chuo,umri Wangu Ni 32yrs,situmi Kilevi Chochote, Dini Mkristu Dhehebu Rc.Karibuni Sana Mwenye Vigezo Ani Pm.
...mmmh..kwa urongo !!! Jana ulienda church afu leo unaongopa mamito..?Aaah yan wewe pamoja na kutokusoma upande wetu huu kiingereza chako huwa kinanisisimua sana
Habari Wakuu Wa Jf,Heri Ya Mwaka Mpya! Nimara Yangu Ya Kwanza Kujitokeza Jf. Jinsia Yangu Ni Mwanaume Natangaza Nia Ya Kutafta Mke Wakuoa Mwenye Vigezo Vifuatavo Mweupe,mcha Mungu,mrefu Na Mnene Kiasi,mcheshi,mvumilivu,mwaminifu,umri Kuanzia 22-31yrs,asiwe Mlevi,elimu KidatoIv-chuo Kikuu,kabila Na Dini Yoyote.Mimi Ni Mwajiriwa Elimu Yangu Chuo,umri Wangu Ni 32yrs,situmi Kilevi Chochote, Dini Mkristu Dhehebu Rc.Karibuni Sana Mwenye Vigezo Ani Pm.
Ok, kwa hiyo unamaanisha kabla ya mwalimu kuitwa hayati? hapo nimekupata....
...huyu ni wa enzi zetu...!
...mmmh..kwa urongo !!! Jana ulienda church afu leo unaongopa mamito..?
Pamoja na elimu yako ya chuo, nenda kwanza tuition ya English halafu uje urekebishe title yako.
Inategemea chuo gani? Kama cha udereva au kufyatua tofali kingereza ni subsidiary so huwezi shangaa
Ni sheeedaah!Mbona wapo wa UDSM/MZUMBE/CBE nao ni kichefuchefu tu mi nimejionea mwenyewe aisee.
Ni kweli kabisa, wasomi wengi sasa hivi swala la lugha limewapitia mbali...! Sio kiingereza tu, bali hata hicho kiswahili kilichotukuza hatukiwezi...! Angalau humu jf mtu akiandika vibaya anashambuliwa, lakini maongezi, maandishi yetu mengi ni hovyo tu.Inasikitisha sana aisee yaani umefika chuo halafu hata kiingereza huwezi andika kwa ufasaha...Seriousness women ndo kitu gani hicho?!mnapenda kutumia lugha ya watu wakati hamuiwezi.Graduates wa sasa ni kichefuchefu kabisa hawajui kuandika kwa lugha fasaha ya Kiswahili wala kiingereza aisee.
Inasikitisha sana aisee yaani umefika chuo halafu hata kiingereza huwezi andika kwa ufasaha...Seriousness women ndo kitu gani hicho?!mnapenda kutumia lugha ya watu wakati hamuiwezi.Graduates wa sasa ni kichefuchefu kabisa hawajui kuandika kwa lugha fasaha ya Kiswahili wala kiingereza aisee.
kumbe hapa JF mtu msomi ni yule anaefahamu kuongea English?? hiyo ni lugha tu kama kimakonde huyu mleta uzi anaweza kuwa kwenye medical field maana kule english taabu
hio medical field labda awe kasoma china,russia,poland etc....lakini akisoma MUHAS,KAIRUKI au popote tanzania lugha inayotumika ni english.....kwahio graduate umeanza kutumia english form 1 mpaka chuo kikuu kama huwezi kuongea kiingereza huna excuse.

wewe umesoma kozi gani?