daftari lisiwe siri
CDM iajiri kitengo cha ICT na takwimu..wacompare data za sensa na idadi ya wanachama wao pia wacollect data za uchaguzi wa 2010 itawasaidia kupata dira where they standWakifanya hivyo CCM inazikwa na kwa kuwa wako kulinda maslahi ya magamba kamwe hawatathubutu kuweka daftari online...
Mkuu si utani how comes at this world of technology mtu anasubiri aende kituoni na kukuta taarifa zake hazipo?Mod plss ukorezee uzi huu ni muhimu sana hafu waungwane eeh kwenye huu uzi ebu twende deep tuache bla bla pls
maneno huumba!kuna kazi tunataka kufanya 2015 da mmefurahi sana hapo......sasa hata ck ikipita bla kuingia JF ntakuwa sijakosa sanaaaaa...........wakuu jana nlikuwa JF mpaka sa kumi asbh, nkalala nastuka watu wanashangilia ..nkahc kna mwizi ametokea nkaulizia watu wananambia chadema tumechukua....wakuu nilitoa machozi ya furaha.............mungu isaidie chadema, mungu saidia tz. mi ntamshukuru zaidi Lwakatare kwa k
uimarisha ulinzi na usalama.
Mkuu si utani how comes at this world of technology mtu anasubiri aende kituoni na kukuta taarifa zake hazipo?
na je nikipoteza kadi au kuunguliwa siku moja kabla? maana kura yangu moja inaweza kuamua ushindi kama ule wa shinyanga
Judge mzee Lubuva
hongera kwa kyanza vema na kupasi mtihani wako wa kwanza japo kulikuwa na dosari ndogondogo kama kuzuia matumizi ya vyombo vya usafiri(chopper) na matumizi ya matusi ingawa hili tunahitaji kauli ya mlezi wao TENDWA
Tunatambua pia NBS na Central Census watafanya sensa mwaka huu
Kwa hilo basi tunaomba uanze sasa kutuboreshea daftari la wapiga kura kwa kushirikiana na NBS
watz wengi wamekufa,wamepoteza shahada, wameziuza na nyingi zimeshikiliwa polisi, benki na Saccos kama dhamana
kikubwa pia watz wengi wamwtimiza 18+ wanaqualify haki yao ya msingi
Daftari liwe online na watu waweze kuaccess usajili wao kwa kutumia simu(shirikisheni makampuni ya simu katika teknolojia hii ili mtu kupitia simu yake aliyojisajili taarifa zake zimatch na NBS na nyinyi
kuna kazi tunataka kufanya 2015
ukizingatia kuwa kila siku kuna waru wanatimiza miaka 18Updates za daftari ziboreshwe kila baada ya miezi 6 kwa kuzingatia sheria za makazi.