Seriously! I want to join freemasonry..


I guessed this... I have met some members of this "Cult". They didn't look sinister as implied. In fact they are very friendly and, in a way, helpful. I need a closer look at this.
 
Shindwa katika jina kuu,jina lipitalo majina yote jina la YESU.
 
nenda chuo cha ifm.....ukifika ulizia ofisi zao zipo ukifika mlangoni utapewa prospectus
 
Sisi wengine tunaamini ukuu wa Mungu mwenyezi, muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote vilivyomo. Fedha na dhahabu ni mali yake. Maisha tuliyonayo ni yeye anayetujalia. Kila sekunde tunayovuta hewa na kuendelea kuishi duniani ni kwa mapenzi yake. Kwa kweli natamani kuishi milele na Mungu mwenyezi katika makao yake matakatifu pamoja na wateule wake. Kumwabudu shetani kwetu sisi ni kutafuta kuangamia milele na siwezi kumshauri mtu akamsujudie.
 
Baada ya kusoma post kadhaa hapa nashawishika kuamini kwa 100% kuwa Freemason haiexist. Hakuna kundi, dhehebu wala dini inayoitwa Freemason chini ya jua ila ni namna ya kutishana ili tusifikirie out of the box. Hakuna siri inayoishi miaka elfu!
 
nadhani anamaanisha wakatoliki wanaamini Mungu (ktk utatu) na supernatural (yaani angels - holy ones). Ila anasahau kuwa freemasons wanaamini na kutumainia fallen angels.
 
Fanya kazi/biashara kwa bidii na muamini mungu utafanikiwa achana na hadithi hizo utajiri ni bidii mipango na kumuamini mungu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…