Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

Ndo maana mimi hao Hashy,sijui Finest na Uporoto nitawasiliana nao kupitia JF tu,zaidi sitaki,manake hawashindwi nialika mitaa ya kwao nikafia huko kwa pollution...mmmmhh
Tuendelee kupeta tu na LOAN letu la World Bank,hela tamu jamani....eace:

halaf kuna mmoja katika hao ni mganga wa kienyeji lakini kwakuwa sheria za JF haziruhusu job calling acha niuchune tu.
 
Ungejua mimi ndo nimemtuma wala usingesema!!Kwanzia mwanzo nlikua namzibia Hashy kwaajili yako!!!

mmmhhhh mama mchungaji you are so unpredictable.....yaani wewe ni master minder.....ila nshukuru umenifikisha kwa Kloro kwenye mikono yenye usalama......yaani sijui nikushukuruje???ila vile vitunguu nitakuletea kama zawadi......:laugh::laugh:
 
hehehe ongea kidogo kidogo , (preta amerudi)
 
mmmhhhh mama mchungaji you are so unpredictable.....yaani wewe ni master minder.....ila nshukuru umenifikisha kwa Kloro kwenye mikono yenye usalama......yaani sijui nikushukuruje???ila vile vitunguu nitakuletea kama zawadi......:laugh::laugh:

Siunajua tena....lazima nisimamie wanangu kuhakikisha siwapeleki kwenye manyanyaso!!!
Hata hamna haja ya kushukuru....we ongeza bidii kumpenda Kloro ulete hiyo loan upande huu tufanye mambo!!!
 
Siunajua tena....lazima nisimamie wanangu kuhakikisha siwapeleki kwenye manyanyaso!!!
Hata hamna haja ya kushukuru....we ongeza bidii kumpenda Kloro ulete hiyo loan upande huu tufanye mambo!!!

mama mchungaji umeniletea mume wa mtu tena mkewe asema ni mnyanyasaji??kasome sredi la Match maker ya JF.....tena mwenyewe ni Preta???rafiki yangu??nimeumia sana,do something mama mchungaji please do.......:twitch::twitch:
 
be specific, hutaki kaskazini mashariki au kaskazini magharibi?
 
mama mchungaji umeniletea mume wa mtu tena mkewe asema ni mnyanyasaji??kasome sredi la Match maker ya JF.....tena mwenyewe ni Preta???rafiki yangu??nimeumia sana,do something mama mchungaji please do.......:twitch:

Jamani what is it that makes married man attracted to you my dear one??:twitch:Yani kwanzia sasa hivi itabidi tuwe tunaajiri PI awe anawachunguza wanaojisogeza kabla ya kuwasha green light!!!

Na wewe Kloro hivi una matatizo gani??Unaponda wenzako kumbe wewe ndo huwezekaniki kabisa????:sad:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…