Serious natafuta rafiki wa kike

Serious natafuta rafiki wa kike

ngirimjane

Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
8
Reaction score
1
Umri wangu 30yrs, mfanyakazi, mkristo Roman Catholic, natafuta rafiki wa kike mwenye sifa zifuatazo:
- Umri 25 - 27.
- Elimu diploma - digrii.
- Asiwe mchaga, mhehe au mnyakyusa.
- Awe mkristo.
- Mfanyakazi au mtafuta kazi au mjasiliamali.
- Awe tayari kuishi popote Tanzania.

Kwa aliye serious ani Pm.

Natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom